Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann unaonekana kama Mdhaifu kwa uyo mwanamke?Nimefungua shauli mahakama ya mwanzo magu, nimempelekea samasi anandai kesho anaondoka kwenda kwao DODOMA KWA AJILI YA LIKIZO KWA HIYO MPK ARUDI ....Kila mara huwa anapenda kabisa kunichenga chenga sasa sijui yeyey anawaza nini!!!
kama una mpango wa kuoa achana naoUmuhimu wa kutokuoa ndio unakuja hapa.
Mali hamtagawana hadi pale ithibitike kuna mchango ulioutoa ww kwenye kupatikana Mali hiyo! Yaani Kama ulimkuta na nyumba halafu ndani ya ndoa mkaboresha hiyo nyumba hapo itakuwa sawaIkitokea mimi mwanaume nimeoa mwanamke mwenye mali huku mimi sina kitu ila tukaendelea kufight pamoja na tukaishi na kuzaa watoto wawili. Ikitokea tukapeana talaka mali tutagawana??
Talaka ipi wakati hawakufunga ndoa?Kadai Talaka, Mpe.
Una Miaka 50 Tu Hapa Duniani Unakubalije Furaha Yako Itawaliwe Na Mtu Mwingine.
Think Out Loud
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inasema baada ya miezi 6 Kama sikosei tayari Ni mke.Talaka ipi wakati hawakufunga ndoa?
Ni miaka miwili mkiishi chini ya paa moja kama mume na mke, yaani ukathibitishe mahakamani kwamba mlikuwa mkiishi kama mume na mke kwa siku 730 chini ya paa moja, sio mmoja yupo Mwanza halafu mwingine yupo Dar then mnaonana wiki 2 then kila mtu anaondoka kwenye shughuli zake, hizo siku ambazo hamkulala chini ya paa moja hazihesabiwi, hata ukathibitisha mliishi kwa siku 729, ilimradi hazijafika 730 bado hai-qualify, na hata ukithibitisha bado itabidi udhibitishe kwamba mliishi kama mume na mke na sio kaka na dada au mwenye nyumba na house girl wake.
Mila ya nani? Kwa kifungu kipi cha sheria, kiweke hapa. Pre-requisites ili iwe ndoa ni:Km ulitoa Mahari hiyo ni ndoa kimila.
Yaani hata hujielewi ndo mana mwanamke anakudharau