Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo


Sawa unakuta chai na nguo zipo safi na watoto unakuta wako salama swali je unatambua kuwa siku hizi nyumba nyingi kuna wadada wa kazi na wanalipwa pesa kwaaajiri ya kupika kusafisha nyumba kulea watoto kufua kwenda sokoni kazi zote hizo zinafanywa na wadada wa kazi wanawake hawafanyi hizo kazi siku hizi na bado ikiwa wote mmejiriwa mwanamke hataki uulize wala kugusa mshahara wake yeye ni kuhudumia kwao na wewe mvishe yeye umuhudumie ujenge na bado uhudumie mashemeji wakwe kwa pesa zako
 
Kwa hili uko sahihi maana hata hukumu kwa jambo moja linatofautiana toka Mahakama moja hadi nyingine.
 
Huo mchango thamani yake ni sh ngapi, au tufanye ni asilimia ngapi..mfano imeuzwa mali million 100 mke achukue ngapi hapo?
 
Daaah, ila wanawake ni wabinafsi sana.
 
Mkuu kama kuna grocery hapo karibu hebu agiza Kvant kubwa na chapati sita uwalipe nakuja kukurudishia nikija Dar kuleta biashara yangu ya majeneza mwezi ujao
Umeongea point sana!
 
Huu ujinga nshaaukata na siwezi kuufanyw
 
Mkuu kama kuna grocery hapo karibu hebu agiza Kvant kubwa na chapati sita uwalipe nakuja kukurudishia nikija Dar kuleta biashara yangu ya majeneza mwezi ujao
Umeongea point sana!

😀😀😀
Biashara yako ni yauhakika
 
.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20230125-WA0016.jpg
    131.7 KB · Views: 6
Watoto ni wa kwetu sote , yeye hanywi hiyo chai , basi yeye kunywa hiyo chai ndio mchango wake. Turudi kwenye asili ya Mungu wetu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
1.) Hiyo Chai yeye hanywi?, nani kanunua vilivyotumika kupika hiyo chai? Tena chai imepikwa na house girl ukute

2.) Hao watoto ni wa nani? Kama wa kwake shida ipo wapi? Hao watoto wanasomeehwa, kula na kukala pazuri, ni wa nani? Watoto wenyewe wakiwa wakubwa ndio kama Diamond platnumz, wanalishwansumu na mama zao wanamtupa baba yao aliywalea, kuwatibu , kuwavalisha na kuwasomesha..., wanaume tuonewe huruma, tunabebeshwa mizigo mizito na kuonewa sana kwa visingizio vya ajabu sana
 
Huu ujinga kaziulize mahakama za Tanzania siyo mimi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…