Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

Hiyo Sheria ikifutwa kutakuwa hakuna maana ya ndoa, wanawake watakuwa jeuri mara mbili ya Sasa na watakuwa wezi na wasiokuwa na upendo Wala kujali maana watajua hawana Chao..

Kiufupi mateso yataongezeka Kwa wanaume kuliko ilivyo Sasa.
Acha yaongezeke tu. Bora uteseke kwenye chako
 
Kumbe hawakufuata mapenzi ya ndoa hapo, walifuata mali si ndio? Ukweli usemwe tu.., mtu ulishwe, uvishwe, watoto wako wasomeshwe, walishwe, wavishwe, watibiwe, wapewe sehemu ya kulala, upewe na mdada wa kazi juu.., wewe mshahara wako wote ni kusaidia ndugu zako na kuka bata, halafu mwisho wa siku unidai tena mgao.., aisee,.., nitaichoma moto hiyo mahakama.., au laa nitamtumia majambazi huyo hakimu wammalize kabisa, tuwe na busara muda mwingine
Ila mkuu ni dhambi kuua ujue[emoji38]
 
Kwa taarifa ya zipo ndoa nyingi zenye matatizo ambao wake zao ni wamama wa nyumbani. Na kuna ndoa ambazo wote wanafanya kazi na ziko stable kabisa. Unayoongelea yamepitwa na wakati.
Sikatai lakini ni kwa kiasi gani ukilinganisha na wanaofanya kazi wote
 
Sikatai lakini ni kwa kiasi gani ukilinganisha na wanaofanya kazi wote
Tena ni nyingi sana kuliko wanaofanya kazi. Sisi wote kwetu tunafanya kazi lakini dada zangu ndoa zao zina more than 25 years na watoto wamesoma na wana maadili. Kuna familia nyingi mama zao.ni mama wa nyumbani ,wana maisha magumu hata familia wanashindwa kuzitunza. Kukaa nyumbani full time sio sababu ya kuwa ndoa imara.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema matusi ni dalili ya kuishiwa hoja. Na ni dalili ya mtu mpumbavu.
Naona ni kama wewe ndiye fooler. Ni mawazo huru! Hujui kupinga kwa hoja. Ni mrahisi mno kujazwa kwenye 18
Kama wewe ni baba nafikiri wanao wana hasara sana. Hustahili kuheshimiwa kwa sababu kwa majibu yako kwenye uzi huu ni kuwa HUJIHESHIMU.
Bwahahahaha! majibu yote haya ni yangu mimi......
Kama wewe ni mtoto wa kiume basi una walakini mkubwa mno......
 
Tena ni nyingi sana kuliko wanaofanya kazi. Sisi wote kwetu tunafanya kazi lakini dada zangu ndoa zao zina more than 25 years na watoto wamesoma na wana maadili. Kuna familia nyingi mama zao.ni mama wa nyumbani ,wana maisha magumu hata familia wanashindwa kuzitunza. Kukaa nyumbani full time sio sababu ya kuwa ndoa imara.
Kubishana kwa kuleta data za kwenu tutakesha. Ibaki tu km ilivyo ila sio kuwadharau au kuwatusi wanawake wasio na kazi.
 
ZINAZOTUANGUSHA ni mahakama zetu kwa kupindisha sheria. Sheria hajiasema mgawaanyo uwe pasu kwa pasu.

Quite the contrary.

Sheria imesema mali za wanandoa zenye jina la mmoja ni zake yule aliyenunua, na kama mwenzake alichangia uendelezaji na utunzaji yeye anaingizwa kwenye umiliki wa Tenancy in Common, yani kila mtu na shares zake kulingana na mchango wake. Ila tu ikumbukwe kwamba nyumba yenu ya kuishi haitaguswa wakati wa ndoa bila idhini ya mwingine, haijalishi nani anamiliki au ana mchango gani. Mali ya kugawana pasu kwa pasu ni ile ambayo ina umiliki wa pamoja wa majina mawili, mmeipata wakati mmoja, mkiwa tayari ndani ya ndoa, na imetamkwa Joint Tenancy au Joint Occupancy kwenye nyaraka ya umilikishwaji.

That is the crux of the law.
na mara nyingi case hizi huishia mahakama za mwanzo, looh!!!! huko sheria hazitafasiriwi kiuweledi ni kutizamana usoni
 
Daaah, ila wanawake ni wabinafsi sana.

Sio kwa wote ivyo vinafanyika jamani, mm nmeolewa lkn mume wnagu hajawai kuhudumia kwetu wala ndugu zangu kwamba wamekwama wamtegemee yeye haijawai kutokea yani ata ikitokea shida hawawez kwenda kumweleza mkwe wao hata siku mojaaa bora ndugu watatue wenyewe wala hakuna anayemwomba hela, kila mtu anaishi maisha yake, msikariri bhana.
 
Back
Top Bottom