Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

Ganja (bhangi, weed, blunt, joint) iruhusiwe au isiruhusiwe?


  • Total voters
    39
Namjua Jama wa kuitwa "MNDEWA" wa Mafisa - Morogoro, way back alikuwa anaanika Bangi nje ya Nyumba yake mf wa Mkulima anavoanika Mahindi ama Mpunga
 
Upate bahati uvute Bangi iliyoanikwa ndani huko, ikakauka pasi na Jua, kama Bangi ya Mahenge inaanikwa Uvunguni huko....
Siku ukipata person nishtue basi
 
Usikubali kuchanganya vilevi.... piga ki1 kwa 100%
hiyo ndio kanuni mfano mimi starehe yangu ni Ganja peke yake ilinifanya niachane na pombe kabisa sitaki kusikia hata harufu yake

Lakini huko nyuma nilikuwa ni mnywaji wa pombe mzuri sana
 
Binafsi siezi kamatwa nikiwa na paper.huo ni uongo na nidham ya woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…