Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

Ganja (bhangi, weed, blunt, joint) iruhusiwe au isiruhusiwe?


  • Total voters
    39
Namjua Jama wa kuitwa "MNDEWA" wa Mafisa - Morogoro, way back alikuwa anaanika Bangi nje ya Nyumba yake mf wa Mkulima anavoanika Mahindi ama Mpunga
 
Upate bahati uvute Bangi iliyoanikwa ndani huko, ikakauka pasi na Jua, kama Bangi ya Mahenge inaanikwa Uvunguni huko....
Siku ukipata person nishtue basi
 
Siku zote nawaambiaga vijana kama HAIJAWAI kutumia kilevi chochote basi haujawai kuishi.....

Ila siungi mkono hoja ya utumiaji wa bangi maana vijana wengi hawana ELIMU ya utumiaji wa hivi vitu na side effects zake....

Kama haujawai kutumia kilevi chochote mpaka Sasa wewe jua fika haujawai kuishi.......................

Yaa ieleweke ivyo ☝️
Usikubali kuchanganya vilevi.... piga ki1 kwa 100%
hiyo ndio kanuni mfano mimi starehe yangu ni Ganja peke yake ilinifanya niachane na pombe kabisa sitaki kusikia hata harufu yake

Lakini huko nyuma nilikuwa ni mnywaji wa pombe mzuri sana
 
Back
Top Bottom