Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kwa baadhi ya watu wanao mix pombe na mjani mara nyingi hu ishia ku lost........Umesema kweli.... Bangi ikifuatiwa na Shooo... huwa najihisi nishamaliza dunia yote na Ikulu zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa baadhi ya watu wanao mix pombe na mjani mara nyingi hu ishia ku lost........Umesema kweli.... Bangi ikifuatiwa na Shooo... huwa najihisi nishamaliza dunia yote na Ikulu zake
Upate bahati uvute Bangi iliyoanikwa ndani huko, ikakauka pasi na Jua, kama Bangi ya Mahenge inaanikwa Uvunguni huko....Pamoja sana😀
Usikubali kuchanganya vilevi.... piga ki1 kwa 100%Kwa baadhi ya watu wanao mix pombe na mjani mara nyingi hu ishia ku lost........
Siku ukipata person nishtue basiUpate bahati uvute Bangi iliyoanikwa ndani huko, ikakauka pasi na Jua, kama Bangi ya Mahenge inaanikwa Uvunguni huko....
Yes yes
Sure, vya kuiba iba ni vitamuIkiruhusiwa utamu wake utapungua. Acha iendelee kuwa illegal.
Kitu cha kuibaiba huwa kitamu sana
Ndugu yangu Usha wai kutumia ndumu??Upate bahati uvute Bangi iliyoanikwa ndani huko, ikakauka pasi na Jua, kama Bangi ya Mahenge inaanikwa Uvunguni huko....
Siku zote nawaambiaga vijana kama HAIJAWAI kutumia kilevi chochote basi haujawai kuishi.....
Ila siungi mkono hoja ya utumiaji wa bangi maana vijana wengi hawana ELIMU ya utumiaji wa hivi vitu na side effects zake....
Kama haujawai kutumia kilevi chochote mpaka Sasa wewe jua fika haujawai kuishi.......................
Yaa ieleweke ivyo ☝️
hiyo ndio kanuni mfano mimi starehe yangu ni Ganja peke yake ilinifanya niachane na pombe kabisa sitaki kusikia hata harufu yakeUsikubali kuchanganya vilevi.... piga ki1 kwa 100%
FANYAUJEPamoja sana😀
Ikiruhusiwa utamu wake utapungua. Acha iendelee kuwa illegal.
Kitu cha kuibaiba huwa kitamu sana
Utawajibu nini warumi? Paper unafanyia nini?Binafsi siezi kamatwa nikiwa na paper.huo ni uongo na nidham ya woga
He he heeeeKama kuchepuka kulivo kutamu [emoji74]