nyambaterito
Member
- Aug 11, 2022
- 51
- 46
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.
1. Nani atahusika na kutoa huduma kwa yule mjamzito na mtoto atakapozaliwa? Maana tunafahamu familia zetu nyingi hali za kimaisha sio mzuri?
2. Je, Baba akifanikiwa kutoka jela anakuwa na haki na yule mtoto au inakuwaje hapa?
3. Je, Ustawi wa jamii watahusika na hili endapo mtoto atakosa malezi ya mazazi mmoja(Baba) ikiwa sheria inembana baba?
NB: Nachotaka kusema hapa kwa mtazamo wangu ni kuwa iandaliwe sheria ambayo itawabana hawa wahusika kwa namna yoyote ambayo sio lazima kuwafungia kwa miaka hiyo yote 30 na kuwafanya waweze kuwahudumia hao watoto na mama zao basipo na Manyanyaso yoyote na pia iwekwe sheria fulani itakayo mruhusu mwanafunzi kurudi shule kwa yule atakae pendelea kuendelea na masomo.