Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

We tembea na mwanafunzi halafu pale kizimbani sema hii sheria wametuletea wamagharibi uone JAMHURI itakachoamua. Nchi kupitia wabunge tuliamua kuwa atakayetembea na mwanafunzi abadilishiwe makazi kwa miaka 30.

Tuendelee kuwalinda mabinti zetu wamalize shule salama wakawe walezi bora wa jamii ijayo.
Saw muendelee kuwalinda nakuwakanya pia waache kutushobokea! kunamoja bint wa kidato 4 alianza kunitongoza, nammnimekula tunda kimasihar je apo nan mwenyekoso???
 
Simple tu,hutaki kula mvua 30 basi acha kutembea(kumbaka) na mwanafunzi,tunahitaji kuwalinda watoto wetu kwa namna yoyote ile.
 
Chuchu saa sita mbona wapo wengi mtaani tena sio wanafunzi basi komaa nao,tatizo mnapenda msererreko unajua ukimtongoza mwanafunzi hana gharama kwa kuwa anakula kwao kwa hiyo kazi yako ni kuchomeka limtarimbo lako na kumpoza na elfu tano,kumbuka akipata mimba umeshamuharibia future yake,mi naona hiyo miaka 30 haitoshi inatakiwa angalau adhabu ya kunyongwa.NAONGEA KAMA MZAZI MWENYE UCHUNGU NA WANANGU,ila wewe uliyeleta hii hoja unaongea kama kibaka anayetafuta unafuu wa malipo ya ushenzi wake
 
Saw muendelee kuwalinda nakuwakanya pia waache kutushobokea! kunamoja bint wa kidato 4 alianza kunitongoza, nammnimekula tunda kimasihar je apo nan mwenyekoso???
Kula kadri unavyoweza ila ikitokea ukafikishwa kizimbani kwa sababu ya kutembea na mwanafunzi basi hakuna mwanafunzi atakayebeba adhabu yako sababu yeye alikutongoza.
 
Nilijua utasema wamfanye impotence kabisa kumbe unataka adhabu ipungue? kikubwa ni kula namba kwanza mengine yatajadiliwa baadae na ukitoka unakuta na mjukuu kabisa
 
Back
Top Bottom