Sheria ya Ubakaji: Maswali yangu kuhusu adhabu ya miaka 30 ya kumbaka mwanafunzi

Mwanamke ana nafasi kubwa sana ya kuzuia au kuisambaza zinaa, kama hii adhabu angepewa mwanamke naamini usingesikia mtoto wa mtu karubuniwa

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.

1. Nani atahusika na kutoa huduma kwa yule mjamzito na mtoto atakapozaliwa? Maana tunafahamu familia zetu nyingi hali za kimaisha sio mzuri?

2. Je, Baba akifanikiwa kutoka jela anakuwa na haki na yule mtoto au inakuwaje hapa?

3. Je, Ustawi wa jamii watahusika na hili endapo mtoto atakosa malezi ya mazazi mmoja(Baba) ikiwa sheria inembana baba?

NB: Nachotaka kusema hapa kwa mtazamo wangu ni kuwa iandaliwe sheria ambayo itawabana hawa wahusika kwa namna yoyote ambayo sio lazima kuwafungia kwa miaka hiyo yote 30 na kuwafanya waweze kuwahudumia hao watoto na mama zao basipo na Manyanyaso yoyote na pia iwekwe sheria fulani itakayo mruhusu mwanafunzi kurudi shule kwa yule atakae pendelea kuendelea na masomo.
Hii Sheria inamtengenezea maisha magumu na chuki kwenye familia zote.Hivi ukitoka salama huko magereza utamwona Kama mwanao au adui? Ndiyo maana familia zinazojielewa zinamfundisha mtoto wa kike ataje mhusika hewa ili maisha yaendelee.Hii sheria ilitungwa kimhemko bila kurudisha wataalamu wa mahusiano ya jamii.
 
Hebu tuiangalie sheria hii ya ubakaji, kwa wanafunzi. Kila mmoja anajua kuwa sheria ya ubakaji kwa upande wa mwanafunzi ni miaka 30 kwa upande wa mwanaune na kuachishwa masomo kwa upande wa mwanamke. Hapa nataka niliseme jambo kuhusu hii sheria na. mambo yenyewe ni kama matatu hivi.

1. Nani atahusika na kutoa huduma kwa yule mjamzito na mtoto atakapozaliwa? Maana tunafahamu familia zetu nyingi hali za kimaisha sio mzuri?

2. Je, Baba akifanikiwa kutoka jela anakuwa na haki na yule mtoto au inakuwaje hapa?

3. Je, Ustawi wa jamii watahusika na hili endapo mtoto atakosa malezi ya mazazi mmoja(Baba) ikiwa sheria inembana baba?

NB: Nachotaka kusema hapa kwa mtazamo wangu ni kuwa iandaliwe sheria ambayo itawabana hawa wahusika kwa namna yoyote ambayo sio lazima kuwafungia kwa miaka hiyo yote 30 na kuwafanya waweze kuwahudumia hao watoto na mama zao basipo na Manyanyaso yoyote na pia iwekwe sheria fulani itakayo mruhusu mwanafunzi kurudi shule kwa yule atakae pendelea kuendelea na masomo.
Kwangu haileti tofauti kwani hao watombaji wenyewe wakisababisha mimba wanakimbia au kukataa mtoto mzazima so kwenye malezi haina tofauti na mtombaji akiwa gerezani.
 
Mfano Kabaka au katembea na mwanafunzi akampa mimba mkamfunga iyo miaka 30!!!

Je future ya mtoto aliyezaliwa kuhusa baba ake na pia mwanamke atakuwa single mother ? Hii imekaaje wadau Sheria still Ina madhaifu at an extent denied some rights of the newborn babies.

Mtoto ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili na kupata malezi Bora
1. Tatizo la single mother haliondoki kwenye jamii kwa kuachia wabakaji huru.

2. Ni % ndogo sana ya watoto wanaozaliwa bila baba sababu baba zao walifungwa kwa kuwabaka mama zao.

3. Kifungo ni funzo zuri kwa jamii ya wabakaji watarajiwa.
 
Mwanamke ana nafasi kubwa sana ya kuzuia au kuisambaza zinaa, kama hii adhabu angepewa mwanamke naamini usingesikia mtoto wa mtu karubuniwa

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Si kweli. Wabakaji wengi huwalubuni mabinti wadogo ambao akili zao bado hazijaweza kufahamu hatari ya zinaa.

Tuwalinde wanafunzi angalau wafikishe umri unaostahili kuwa mama.
 
1. Tatizo la single mother haliondoki kwenye jamii kwa kuachia wabakaji huru.

2. Ni % ndogo sana ya watoto wanaozaliwa bila baba sababu baba zao walifungwa kwa kuwabaka mama zao.

3. Kifungo ni funzo zuri kwa jamii ya wabakaji watarajiwa.
Ndo tumefika huko!!! Naona kesi nyingi sana hivi karibuni.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Still ukichukua watoto wasio na malezi ya baba kwa sababu nyingine ukalinganisha na sababu ya kufungwa kwa ubakaji bado hilo si tatizo. Halafu mbakaji unadhani analea? % kubwa ya Wabakaji hawana hiyo akili.

Mtu mzima anayeingia kwenye mahusiano ya kingono na mwanafunzi huyo usipomfunga atazalisha wanafunzi wa mkoa mzima. Ni kama simba aliyeonja nyama ya binadamu siku zote hataangaika na mbogo aumizwe wakati kuna binadamu mwepesi asiye na mbio yupo.
 
Mi nashuhudia daily kwa takwimu naona iringa haipiti wiki washabakana!!! Nafuatilia sana daily mara iringa mara Geita yaani balaa tupu.
Wafungwe, kama hawajifunzi basi adhabu iongezwe na si kuipunguza.
 
1. Tatizo la single mother haliondoki kwenye jamii kwa kuachia wabakaji huru.

2. Ni % ndogo sana ya watoto wanaozaliwa bila baba sababu baba zao walifungwa kwa kuwabaka mama zao.

3. Kifungo ni funzo zuri kwa jamii ya wabakaji watarajiwa.

Kwanini munapindisha tafsiri ya kubaka? yanu watu wazima wamekubaliana kufanya tendo la halafu unaita ubakaji?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwanini munapindisha tafsiri ya kubaka? yanu watu wazima wamekubaliana kufanya tendo la halafu unaita ubakaji?
Mtoto wa miaka 3-18 ukimwambia vua nguo akakubali umebaka au umemshawishi?

Tafsiri ya kubaka si lazima kutumia nguvu ya mwili. Hata ukitumia nguvu ya akili iliyopevuka kwa akili ambayo haijapevuka wewe ni mbakaji.

Kama huyo binti ni juu ya miaka 18 unaweza sema ni mtu mzima ulikubaliana. Ila asiwe mwanafunzi maana sheria hairuhusu kutembea na mwanafunzi hata kama yeye ametaka wewe jua kua sheria inakuhukumu ww na si yeye, sasa kazi kwako.
 
Hawa wasichana wakivunja ungo wanatakiwa waolewe huku wakiendelea na shule. Acheni kucheza na nyege nyie!
 
Mwanaume ukimuona msichana kavunja ungo na ni mwanafunzi kimbia uendelee na maisha yako. Acheni kucheza na manyapara nyie.
 
Mtoto wa miaka 3-18 ukimwambia vua nguo akakubali umebaka au umemshawishi?

Tafsiri ya kubaka si lazima kutumia nguvu ya mwili. Hata ukitumia nguvu ya akili iliyopevuka kwa akili ambayo haijapevuka wewe ni mbakaji.

Kama huyo binti ni juu ya miaka 18 unaweza sema ni mtu mzima ulikubaliana. Ila asiwe mwanafunzi maana sheria hairuhusu kutembea na mwanafunzi hata kama yeye ametaka wewe jua kua sheria inakuhukumu ww na si yeye, sasa kazi kwako.

Mtoto wa kike anapovunja Ungo tayari anakua ni mtu mzima, Dini pamoja na Mila zetu ndivo zinavyotuelekeza, Sasa wewe unaelazimisha kuwa mwanamke wa miaka 18 kuwa bado ni mtoto unapingana na nature ya maumbile utapata tabu sana. Sio kila wanachotuletea wamagharibi tukumbatie tu.
 
We tembea na mwanafunzi halafu pale kizimbani sema hii sheria wametuletea wamagharibi uone JAMHURI itakachoamua. Nchi kupitia wabunge tuliamua kuwa atakayetembea na mwanafunzi abadilishiwe makazi kwa miaka 30.

Tuendelee kuwalinda mabinti zetu wamalize shule salama wakawe walezi bora wa jamii ijayo.
 
Back
Top Bottom