Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

I doubt if it will ever come to pass because the legislation will be actually baseless.
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Hiyo ni katika nchi nyingine sio hapa.
Sheria ya Bodi ya mikopo kwa wanafunzi mbona ilirudishwa nyuma.
 
Leo ndio nimejua nani alitaka kumwua lissu.

Dhambi hii itawatafuna hadi makaburini

Nawashauri kukaa na familia ya lisu , watubu na wasamehewe
 
Sasa ww unaona ni haki kutaka urais huku upo nje ya nchi unayotaka kugombea urais?tutajuaje ww kweli umekunywa bendera yetu au umekunywa bendera ya mabeberu.Acheni unafki wakati mnaelewe sana ila mnafumba macho eti kwa sababu mnamchukia JPM.
 
natambua ya kuwa hizo sheria wanajitungia wenyewe tuu..

ila kwa upofu wa madaraka hawakumbuki,ya kuwa hawakuzaliwa na vyeo na wataviacha.!

wapi Nape,Mwigulu au wale wastaafu wanaolialia kuonewa na huku sheria walipitisha wenyewe!!
 
Uwezo wa lissu kumiliki jukwaa na kushawishi Ni mkubwa sana.jpm hawezi shindana na lissu kamwe.
MR JPM akishaimba nyimbo za Stiglers amabayo haijaanza ujenzi, Flyover na ndege Sita za dreamliner basi hana jipya. Miradi michche ambayo mpaka sasa haina hata thamani ya Trilioni 5 kwa miaka minne.
 
natambua ya kuwa hizo sheria wanajitungia wenyewe tuu..

ila kwa upofu wa madaraka hawakumbuki,ya kuwa hawakuzaliwa na vyeo na wataviacha.!

wapi Nape,Mwigulu au wale wastaafu wanaolialia kuonewa na huku sheria walipitisha wenyewe!!
Wamesahau yaliyomkuta Lowasa mpaka leo hana hamu, ni mmoja wa wazee waliofanya monopolism ya vyombo vya dola akiamini miaka yote Vitamsaidia kufika mbele dhidi ya wapinzani. Hakuwahi kufikiria ipo siku atakuwa mpinzani na vyombo hivyo hivyo kwa nguvu ile ile vitamshughulikia. Akapigwa pini hata kwenda kwenye mazishi, akapigwa pini kifanya siasa za aina yoyote. Jasho likamtoka, mimacho akaitoa kama panya kwenye mlango kabanwa. wakambinya kisawasawa hatimae akaunga juhudi bila kupenda.

"He Who digieth the pit shall burry in it himself"
 
Wamejifunza katika uzee wao na bahati mbaya hawawezi kurekebisha chochote tena, its too late. Mungu ameamua kuwalipa sawa sawa na matendo yao.
 
Si watunge tu sheria inayosema mgombea urais anatakiwa asiwe AMMEWAHI KUPIGWA RISASI ZAIDI YA MOJA watakuwa wamemwengua rasmi.
 
Kwa kifupi ni kwamba hii ni SERIJALI YA KISHETANI
 


Vipi itamgusa huyu?? Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda
 
SIFA ZA KUGOMBEA URAIS ZIKO KWENYE SHERIA AU KATIBA?

Kama sifa ziko kwenye katiba watabadilishaje Sheria ili kutengua kifungu cha katiba
 
Kama ni kweli hiyo siyo mammbo ya Firauni! Nchi nyingi duniani kuna sheria kama hiyo na hata kupiga kura. Let us not transmit our ignorance to the society.
 
Wapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapi
Ha ha mshujuruni kikwete kina a nape makamba kwa kukwapua ushindi Magufuli ni bad test na sasa ni more bad test hata kula milioni moja hata pats muuaji mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…