Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Kama ni kweli hiyo siyo mammbo ya Frauni! Nchi nyingi duniani kuna sheria kama hiyo na hata kupiga kura. Let us not transmit our ignorance to the society.
Stupid laws
 
Sasa ww unaona ni haki kutaka urais huku upo nje ya nchi unayotaka kugombea urais?tutajuaje ww kweli umekunywa bendera yetu au umekunywa bendera ya mabeberu.Acheni unafki wakati mnaelewe sana ila mnafumba macho eti kwa sababu mnamchukia JPM.
Hapa msisitizo ni kuwa ugonjwa uzingatiwe. Kama mtu kaenda kwa matibabu je sheria ikoje?
 
Kwa hisani ya Tundu Lisu rais ajaye, kwahiyo mtu anayefanya kazi ubalozini na ni raia wa Tanzania atanyimwa haki. Hili liinchi hata kibuli cha sisimizi watu wanatimua mbio. Kikubwa ongozeni kwa haki watu wawapende mkileta hizi mbichi watu watazidi kuwakataa
 
Hata Nape alifurahia kuleta muswaada wa sheria kandamizi ya habari .
Muulize leo maoni yake. Huku anadukuliwa mawasiliano yake.

Hivyo hata wewe shangilia hujui mwanao kesho atakuwa wa mrengo gani ?!
 
Usiombe iwe hivyo,ni moja ya sheria mbaya kabisa kama itawekwa.

Kuna wanasiasa hukimbizwa uhamishoni kwa visa na visasi.
Unaweza kuwa upo kama balozi huko nje.
Unaweza enda kwa masomo ama shughuli yeyote ile ya kukujenga.

Tulianza na utanzania wa namna fulana,leo ukaazi,kesho race,ukabila,udini,ukanda n.k Mungu aiepushe mipango hii.
 
Wazo langu vyama vya upizani wange organize tu awamu hii ya uchaguzi waache tu kusimamisha wagombea urais na ikibidi chaguzi zote wasishiriki ili afurahi kwa kwenda mbele.
Kwa kweli!Si kwa uoga huu.Sasa mbona tunaambiwa yeye ndo kafanya maendeleo hakuna wa kufanana naye tangu kuumbwa kwa ulimwengu?
 
Hata Nape alifurahia kuleta muswaada wa sheria kandamizi ya habari .
Muulize leo maoni yake. Huku anadukuliwa mawasiliano yake.

Hivyo hata wewe shangilia hujui mwanao kesho atakuwa wa mrengo gani ?!
Siwezi kushangilia sheria ambayo hatimaye inaweza kuliingiza taifa katika matatizo makubwa.It is not about money for an individual,it is about a bright future for our nation.
 
Katoa taarifa yyte Kwa mwajili wake? Kama ametoa Kwa nin amefukuzwa kazi....
Mr polepole kiti ulichonacho alikuwa nacho kingunge, Nape nk. Leo wananyoshewa bunduki na hata bungeni akisema hawamuelewi. So hata kwako ni swala la muda.

Walileta muswaada wa sheria kandamizi ya habari. Leo anadukuliwa yeye [emoji23][emoji1787].
 
Huyu jamaa anatamani aonane na mungu amulize kabisa ili ajue ataishi mpaka lini ili aungane na maswaiba zake wa afrika mashariki M7 kagame na Nkulunziza
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure

Mzee umeisahau sheria ya HELSB.? Walivyotunga sheria kuongeza asilimia za marejesho ambazo ziliwabana hata walioomba mkopo kabla ya hiyo sheria

Ni kweli sheria huwa mara nyingi haiact retrospectively Ila haimaanishi kuwa inashindikana!!.
 
Mzee umeisahau sheria ya HELSB.? Walivyotunga sheria kuongeza asilimia za marejesho ambazo ziliwabana hata walioomba mkopo kabla ya hiyo sheria

Ni kweli sheria huwa mara nyingi haiact retrospectively Ila haimaanishi kuwa inashindikana!!.

Hiyo sheria haikupingwa mahakamani
Lakini hii ya uchaguzi ikitungwa kuna watu kama akina Lissu hawawezi kuiacha hivihivi ipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…