Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Knitting laws with a focus in individuals amounts to UNYANI aka Apedomia( according to Mtikila)
 
Hiyo hatuitaki
 
Huyu jamaa anatamani aonane na mungu amulize kabisa ili ajue ataishi mpaka lini ili aungane na maswaiba zake wa afrika mashariki M7 kagame na Nkulunziza
Ama kweli viongozi wakutokea sehemu za pwani, wana ustaarabu kutushinda, na hawana uchu wa madaraka. Mwinyi, Mkapana Kikwete
 
Mr polepole kiti ulichonacho alikuwa nacho kingunge, Nape nk. Leo wananyoshewa bunduki na hata bungeni akisema hawamuelewi. So hata kwako ni swala la muda.

Walileta muswaada wa sheria kandamizi ya habari. Leo anadukuliwa yeye [emoji23][emoji1787].
Pambana na hali yako weweee...kila siku kujaji maamuz ya watu....
 
Amen
 
Wana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Hivi ni kweli hata wewe hujui kwamba kwa sheria iliyopo Tundu Lissu hana sifa ya kugombea Urais? kuna haja gani ya kumtungia sheria nyengine? yeye nani?
 
OoH Lord Give Mr Lissu Strength.

Bado Lissu anaogopwa kiasi hiki??

Hahahahahaaa.

Jamani anaumwa tu hakusafiri kula bata.
Afu ukute mtu ka wewe ndo think tank la wenye fikra ka zako, Lissu is already done, huwezi fukuzwa ubunge kwa kosa la kutemper na fomu za maadili ya viongozi wa umma afu utegemee sheria ikuruhusu kugombea ukuu wa nchi, labda ashinde kesi atayoifungua (kwa mujibu wake).
 
Hakuna mtu atakayekuwa na sifa hiyo kwa sababu hata kitendo cha Mh. Rais kwenda ziara nje ya nchi kinamnyima sifa hiyo. Hawezi kukaa nchini miaka 2 mfululizo.
Hehe..kweli Tanzania tunawatu wa ajabu, hivi kuna mtu timamu unaweza hata jibu huu upuuzi ambao hata TL mwenyewe huenda ndo kauandika ili apate public sympathy na kuteka fikra za watu!!??
 
Sina hakika na sheria kutokurudi nyuma.

Sheria mpya ya bodi ya mikopo inaelekeza wanufaika wote wa mikopo ya elimu ya juu kulipa 15% ya mishahara yao. Ikumbukwe kuwa kabla ya sheria hii marejesho yalikuwa 8% ya mshahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…