Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Kuna mantiki katika hili;

Sioni umuhimu wa kumchagua mtu ambaye anawafahamu anaowaomba kura kupitia vyombo vya habari.

Lazima kiongozi uwe sehemu ya hao unaotaka kuwaongoza.
Naona mnashabikia huo upuuzi.
 
huu ni uzwazwa tu
wakati watu wanafikiria kuwa na dual citizenship,kufungua borders nakuondoa visa Kuna wengine bado mpo zama za ujima
 
huu ni uzwazwa tu
wakati watu wanafikiria kuwa na dual citizenship,kufungua borders nakuondoa visa Kuna wengine bado mpo zama za ujima
 
Bado ni tetesi ila wazo itakua katoa kibajaji au msukuma likaonekana bonge la wazo kuelekea ushindi wa Sunami maana yule bwana victim hana tena mlango wa kupitia
 
Masharti ya uchaguzi wa Rais yako kikatiba..
 
Hapo kuna mtu anaogopwa sana wanamtafutia pa kumkamatia
Maana huyo MTU kwenye urais wa TLS walihangaika SANA kumkwamisha lakini ikashindikana

By the way, MTU AKISAFIRI NJE YA NCHI MUDA MREFU KWA MATIBABU, ITAKUWAJE? Maana mtu huyo atakuwa ametoka nje ya nchi kwa sababu za kiafya
 
Mungu wangu, swali kuu ni hile je nani anayejua kesho isipokuwa mungu pekee?je hao waccm wanaliwaza hili au wanajiona wao ni miungu fulani hivi, washindwe kwa jina la yesu wa nazereth
 
Maana huyo MTU kwenye urais wa TLS walihangaika SANA kumkwamisha lakini ikashindikana

By the way, MTU AKISAFIRI NJE YA NCHI MUDA MREFU KWA MATIBABU, ITAKUWAJE? Maana mtu huyo atakuwa ametoka nje ya nchi kwa sababu za kiafya
Watasema lazima awe ameenda kwa kibali cha rais na sio vinginevyo.magamba Ni mashetani utu uliondoka na mwenye chama nyerere wamebaki interahamwe tu.kwao chama Ni muhimu kuliko taifa lao na watu wao
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Asante kwa kuelimisa waccm ambao wengi hawakuona ndani ya darasa, hii sheria hata ikipita itaaza kutumika after 2020 GENERAL ELECTIONS, and NOT BEFORE 2020 ELECTIONS, yaani itaaza kufanya kazi baada ya uchanguzi wa hapo 2020 sio kabla
 
Pointi yangu Ni kuwa kubadilisha masharti ya uchaguzi hufanyika kwa kubadili Katiba
Ok, Lakini kumbuka hawashindwi hao kufanya yanayowezesha wayatakayo yafanikiwe... Be it kubadiri kipengere cha katiba Kwa hati ya dharula au vinginevyo... ILIMRADI IWEZEKANE... This is known by you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…