Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Unaifahamu sheria ya bodi ya mikopo ya vyuo vikuu?
Ilipitishwa lini na imemuathiri nani?
Utakuwa sio mwenyeji wa nchi hii!
 
Ndugu yangu chini ya huyu mshambaa kila kitu kimeparanganyika, Sheria ya bodi ya mikopo makato toka 8% kwenda 15% imetukumba na tuliomaliza chuo miaka ya 2000's hili unalizungumziaJe in relation to hii Sheria??
Hilo nalo neno!
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Washamba na malimbukeni hawakulijua hill wataumbukaje? Hapo walikaa Bashite ,Baba Bashite ,Musiba,Jeri Muro ,Mnyeti ,Gambo,Ali Hapi na Lemutuz wakamshauri baba yao wakaona bonge la ushauri .
 
Nadhani watunga sheria hii watazingatia baadhi ya sababu za kumfanya mtu awe nje ya nchi kama vile matibabu na masomo. Vinginevyo ipo siku sheria hiyo itawaumbua kwa kuwakata wenyewe pale wanayemtegemea kuwa mgombea wao atakapokumbwa na maradhi ya kutakiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi.
 
Sheria itaweka masharti lazima uwe umepata kibali cha kutibiwa nje.hapo wanamlenga lissu.maana Ni ukweli ubavu wa kupambana na lissu jukwaani hawana. Hapo hapo wana polis na tume.
 
Usiwe na wasiwasi January Makamba akimaliza kupata ubatizo wa moto, atakijatueleza vizuri.
Aiseee chalii hata iyo laki tisa tu nimemuongezea. Nilasikia kutoka chanzo cha uhakika kwenye kitengo alipata laki 5 na huenda Janet alimpigia maMvi
 
Nikisema huyo ni nduli na dikteta NISIPIGWE BAN hayo si matusi bali ni ukweli husika wa tabia ya huyo dikteta kutunga sheria za kujirahisishia kupora uchaguzi.

Anahofia Lissu the GREAT kusimama naye hivyo anafanya udikteta ili bunge DHAIFU lipitishe huo muswaada wa kidikteta.

Lissu the Great hakupenda kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili bali ni huyo MUUAJI ndiye sababu ya Lissu kufanya hivyo.

Huyo nduli ana chuki na roho mbaya za kutisha. Bunge kaligeuza liwe Bunge lake ili alitumie kufanya uhuni wake.

 
Ok, Lakini kumbuka hawashindwi hao kufanya yanayowezesha wayatakayo yafanikiwe... Be it kubadiri kipengere cha katiba Kwa hati ya dharula au vinginevyo... ILIMRADI IWEZEKANE... This is known by you...
Hakuna Hati ya dharura kwenye kubadili Katiba... kwenye hili ondoa shaka. Ibara ya 100 ya Katiba imeweka utaratibu wakubadilisha Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…