Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Wazo langu vyama vya upizani wange organize tu awamu hii ya uchaguzi waache tu kusimamisha wagombea urais na ikibidi chaguzi zote wasishiriki ili afurahi kwa kwenda mbele.
 
Kutunga sheria kwa ajili ya kundi la watu fulani kwa wakati fulani ni shida kubwa. Tuache ubinafsi tuenende for the good of our mother Tanzania not for sake jiwe. Kwani nchi lazima itawaliwe na jiwe?
Mm namshangaa sana huyu baba, anajidai anauchungu sana na Tz kuliko waliopigania uhuru
 
Kwa walio ishi nje ya Tanzania kuanzia miaka miwili na kuendelea hapo sawa, kuna mambo na mienendo mingi wanakua nyuma...

Ila hiyo ya kusema zaidi ya mwezi mmoja unakua disqualified, hiyo sheria itakua imaetungwa na watoto wa chekechea...

Na ndiyo maana kuna kiongozi wa nchi hataki kusafirisafiria ili zipenyezwe sheria kama hizo za kitoto zinazovutia upande wake...

Cc: mahondaw
 
Yaani hawalali, Lissu anatesa watu na minguvu yao.
Ukupora haki ya mwingine, utateseka sana kuilinda hiyo haki, utafanya kila liwezekano maana unajua kabisa haikuwa yakwako.
 
Habari JF siasa.

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.

Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.

Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.

Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.

Yangu macho!!
Tuache kutunga sheria ambazo haziishi badala yake kutunga sheria za mahitaji maalum ya uchaguzi wa 2020 ''Where are we heading to, is it to save a group of people interest or for a person''
 
Hakuna mtu atakayekuwa na sifa hiyo kwa sababu hata kitendo cha Mh. Rais kwenda ziara nje ya nchi kinamnyima sifa hiyo. Hawezi kukaa nchini miaka 2 mfululizo.
Wanaposema ''kuishi mfululizo'' haimaanishi kukaa sehemu moja bila kutoka. Hii ina maana kuwa unaishi sehemu husika, yaani makazi yako au nyumbani kwako ni sehemu fulani. Dunia ya leo huwezi kumzuia binadamu kusafiri. Na kusafiri kuna sababu nyingi. Watu wanaweza kusafiri kwa sababu za kibiashara, matibabu, kutalii kozi au masomo nk. Kwa mfano mtu anayeishi kijiji cha Gezaulole akipata kozi ya miezi mitatu kujifunza kilimo Japan huyu anahesabika makazi yake ni Gezaulole.
 
Habari JF siasa.

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.

Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.

Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.

Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.

Yangu macho!!
Mazezeta wa lum umba endeleeni kupiga mapambio kuna siku mtakuja kuelewa somo ila itakuwa too late wenye akili tunajua kwamba nyerere alitawala miaka mingi na magu sometimes anajinasibisha na nyerere hiyo ni lugha rahisi tu kueleweka ukiacha kauli zake za wazi jukwaani wakina nape, janary, kinana,kikwete wote walijenga dhana kwamba ccm ndio chama pekee kinachostahili kutawala wakafanya kila figisu kuwazulumu wapinzani sasa huyu wa Leo ana dhana kwamba yeye ndiye anayefaa kutawala milele na jeuri hiyo anayo kwa kuzingatia katiba mbovu ya chama kimoja iliyopigiwa kelele miaka yote kiuufupi ni kwamba watanzania Tujiandae kisaikolojia na mimi binafsi nampongeza jpm kwa kupiga kazi
 
Miaka miwili ni kitu gani jamani,mbona haitoshi kwa mtu anayetaka kugombea urais kujua matatizo ya Watanzania kwa undani?Kwa nini isiwe kwamba ni lazima awe anaishi Tanzania?Hii kitu inaweza kututokea puani.Watu ambao wameshaishi nje mara nyingi wanakuwa vibaraka wa mabeberu.Kwa nini tunashindwa kuelewa kwamba mtu aliyeikimbia nchi yake kwa sababu yeyote ile, hawezi kuwa mzalendo wa kweli.Tunataka kumfurahisha nani kwa kulegeza masharti kiasi hicho?
 
Akili zingine, kwahiyo unataka kubagua diaspora wasishiriki demokrasia nchini kwao?

Kwa faida gani? Hili ndilo kundi lenye exposure na maarifa ya kufanya mabadiliko.

Wewe unataka viongozi wawe watu waliokulia huko huko, kukaa huko huko. Mwisho ni madhara ya ushamba.

Lazima uchanganye watu wenye exposure tofauti ndio unapata maendeleo.

Kwanza ni wasiwasi wa bure. Ni Watanzania wangapi Diaspora wamewahi kuwa viongozi TAnzania?

Kama tuko nyuma ni matokeo ya hao hao akina Msukuma ambao hawajawahi hata kusafiri.
Hii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.
 
Back
Top Bottom