ni tatizoMpk kifo kiwatenganisha mzee umesahau.kasome marko
hilo linabaki kuwa la wawili sio kanisa, kanisa kazi yake kufunganisha tuuMfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza, RC Arusha hawakuwa na cha kufanya mpaka umauti ukamfika hakuweza kuwa na watoto
Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi kuzaa ila wewe unaweza kutunga mimba, kuna solution ipi ?
Sheria ya Ndoa inachukua mkondo wake kifuatacho ni Talaka na wanatoa hio Kanisa Katoriki maana Ndoa ni takwa la Kiserikali na Ndoa zote zimesajiriwa na Serekali, kwa hio ni kupeleka maelezo Parokiani kifuatacho ni hivyo mnatenganishwa unatafuta Ardhi nyingine yenye rutuba unaumwagia mbegu za mzeitunikuna solution ipi ?
Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika.
Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi kuzaa ila wewe unaweza kutunga mimba, kuna solution ipi ?
ni hoja dhaifu sana kwa kanisa la RC kuachana sababu mke hawezi kuzaa, mtaambiwa mvumiliane kwenye shida na raha.Sheria ya Ndoa inachukua mkondo wake kifuatacho ni Talaka na wanatoa hio Kanisa Katoriki maana Ndoa ni takwa la Kiserikali na Ndoa zote zimesajiriwa na Serekali, kwa hio ni kupeleka maelezo Parokiani kifuatacho ni hivyo mnatenganishwa unatafuta Ardhi nyingine yenye rutuba unaumwagia mbegu za mzeituni
Sheria ya Ndoa inachukua mkondo wake kifuatacho ni Talaka na wanatoa hio Kanisa Katoriki maana Ndoa ni takwa la Kiserikali na Ndoa zote zimesajiriwa na Serekali, kwa hio ni kupeleka maelezo Parokiani kifuatacho ni hivyo mnatenganishwa unatafuta Ardhi nyingine yenye rutuba unaumwagia mbegu za mzeituni
Wembe ni ule ule, Hali itakuwa hivyo hivyo maana hakuna kuachana mpaka kifo, nae atazeeka bila watoto kwa kiapo cha kuvumiliana kwenye shida ma rahaNa mimi nina swali hapo hapo. Je kwa mwanaume mwenye shida ya uzazi mkewe anaruhusiwa kutoka nje kutafuta mtoto?
Na mimi nina swali hapo hapo. Je kwa mwanaume mwenye shida ya uzazi mkewe anaruhusiwa kutoka nje kutafuta mtoto?
Ukristo haukuja ili kuweka misingi ya maisha kimwili ukilielewa hilo hutapata tabu juu ya hizo drama zinazoendelea!ndoa ya kikristo imesahau kutoa majibu ya mambo mengi