Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa


Tatizo kubwa kwa kamati 72 kwnn hawakutoa maamuzi day one? Wanataka kutuaminisha siku hawakuwa na information za kutosha? Kama hawakuwa na taarifa za kutosha kwanini walikaa?
Maamuzi Yao yana ukakasi hata kama ni kweli na kweli alikuwa na kadi tatu waweke ushaidi mezani yaishe naamini AzamTV wana record mechi zote
Tufanye maamuzi kidigitali Dunia imesogea
 
Kwani suala la timu kunyang'anywa points kwa makosa yao yanafanyika Tanzania pekee?? Mbona hizi ni sheria za Fifa na zinatumiwa na nchi zote wanachama wa Fifa! Mcpende kuwachagulia TFF adhabu za kutoa wakati sheria na taratibu zipo wazi!
Unaweza kunipa mfano ligi ya Uingereza ni timu gani ilinyang'anywa point na kupewa timu iliyofungwa uwanjani?

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama wazungu ni wapuuzi kiasi hiki.
 
Watu wasimba ndivyo walivyo mkuu wavumilie tu
 
Timu haziweki kumbukumbu.

TFF nao hawana database ya kinachoendelea kwenye ligi.

Bodi ya ligi ni majanga matupu. Faida pekee ni watu kunenepa mashavu.

Tufike mahali Azam Tv wakiweka lineup siku ya mechi waonyeshe kadi kwa kila mchezaji.

Tunahitaji msaada wa FIFA hata kwa vitu vidogo hivi?
 
Matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo na kama kuna timu inafanya makosa then wapate adhabu kwa hayo makosa bila kuathiri matokeo ya mchezo.
Hiyo ni baadae kama FIFA watapokea na kufanyia kazi ushauri wako.Kwa sasa sheria zinzoongoza soka zinawapa haki Simba. Na Yanga acheni ung'ang'anizi kama chama flani cha siasa chenye sare kama Yanga wasio kubali kushindwa.
 
ulitaka wapewe nn ? serengeti boys karudishwa mashindanoni kwa ajili ya hiyo, real madrid alitolewa mashindanoni kwa ajili ya hiyo msimu uliopita
Nadhani hatuelewi ktk hii mada kabisa nachosema ni MTU kupewa tu point za mezani then aliyefanya makosa yupo tu.Kwangu hili silikubali kwasababu tumeona jinsi timu zilivyoadhibiwa kwa kuondolewa ktk mashindano au hata kufungiwa kabisa.

Haya mambo ya tz timu zitakuwa zinafanya makosa kwa makusudi then zinyang'anywe point kwa makusudi halafu wa najua wataachwa tu hatutasonga mbele kimpira zaidi ya kurudi nyuma
 
Point za mezani zinapoifaidisha Yanga, Azam FC au timu nyingine inakuwa poa lakini wakipewa Simba SC inakuwa nongwa. Wabongo kwa kulalamika!!!
 
Hiyo ni baadae kama FIFA watapokea na kufanyia kazi ushauri wako.Kwa sasa sheria zinzoongoza soka zinawapa haki Simba. Na Yanga acheni ung'ang'anizi kama chama flani cha siasa chenye sare kama Yanga wasio kubali kushindwa.
Hapana hakuna uyanga wala usimba ni issue ya haki ya matokeo ya uwanjani tu.

Kama kuna makosa makubwa yameanishwa kiasi cha kunyang'anywa ushindi au kuvuliwa ubingwa au kuondolewa mashindanoni basi yawekwe wazi.
 
Mbona mnafurahia twenzetu Gabon
 
Hili la kaburu na mgosi kuwahonga wachezaji na viongozi wa timu pinzani huku kanda ya ziwa lisifumbiwe macho, sijui takukuru wapo wapi? Yaani mijitu inatembea na mikoba iliyo jaaa minoti utafikiri wanaenda mnadani kumbe kazi yao wanawinda wachezaji na viongozi wa toto, mbao, kagera, nyambaf zao kabisa next time wakirudia huu upuuzi tutawachoma motto
 
hii sio tz tu dunia nzima ndio iko hivyo, ndio maana nimekupa mfano wa real madrid ya spain
 
Matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo na kama kuna timu inafanya makosa then wapate adhabu kwa hayo makosa bila kuathiri matokeo ya mchezo.
Unachotaka kumaanisha ni kwamba hata Serengeti boys wanyang'anywe ushindi ili Congo waende Gabom? Nani aliyekwambia kwamba TFF ndio anatunga sheria za soka?
 
G

Kwanza ungetupa wewe mfano wa timu ya ulaya iliyofanya kosa kama la kagera! Wenzetu wana njia rahisi ya kutunza kumbukumbu yaani hata shabiki wa kawaida anakuwa anajua, haujawahi kuona kwa sababu haijawahi kutokea maybe.
 
Wiki ijayo tunawanyang'anya hizo point 3 na kuzirudisha kwa kagera, kama mbwai na iwe mbwai, mida hii ya lala salama hakuna point za bwereree
 
Unachotaka kumaanisha ni kwamba hata Serengeti boys wanyang'anywe ushindi ili Congo waende Gabom? Nani aliyekwambia kwamba TFF ndio anatunga sheria za soka?
Kilichofanyika kwa Congo ni kama Real Madrid mnaondolewa ktk mashindano yenyewe kabisa mnakuwa watazamaji tu sio mwingine kupewa point za mezani na mtenda kosa anapeta tu mitaani.
 
Wewe ndiyo zoba yaani unajiona wewe ndiyo pekee mwenye kuchangia mawazo yako hapa JF?
Povu la nini
Nimemjibu mtu mwingine wee unarukia
Kweli baiskeli kupaki na gari haibadilishi thamani yake, kama wee ulivyo kukaa JF muda mrefu hakukufanyi wewe kuwa mwerevu katika kujibu post za watu
 
Povu la nini
Nimemjibu mtu mwingine wee unarukia
Kweli baiskeli kupaki na gari haibadilishi thamani yake, kama wee ulivyo kukaa JF muda mrefu hakukufanyi wewe kuwa mwerevu katika kujibu post za watu
Jitahidi kuheshimu michango ya wenzako kwani hilo ni jukwaa huru
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga nasema hivi kama timu imevunja sheria inapaswa kuadhibiwa kwa mujibu wa kananuni na sheria zilizopo haijalishi ni Yanga, Azam, Mtibwa, Simba, Kagera nk. Ilimradi tu haki itendeke.

Btw huo ni utaratibu duniani kote hata Real Madrid waliadhibiwa kwenye kombe la Copa de Lay kwa kumchezesha mchezaji aliekua na kadi za njano za msimu uliopita, regardless ushindi wao mnono walioupata Madrid waliporwa ushindi na kutupwa nje ya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…