Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

Mkuu lazima waweke adhabu kali ili timu ziwe makini. Hakuna adhabu inayovuka kunyang'anywa points huku ukiwa umeshinda. Ukisema tuiadhibu timu na matokeo yabaki vile vile timu zitakua zinachezesha tu wachezaji walio na kadi 3 na kusubiri hiyo adhabu unayoikusudia. Siungi mkono timu kuvunja sheria.

Btw achana nae huyo mduanzi wa matusi. Usimpe kiki asubuh asubuh kiki kwa Yesu tu leo kafufuka.
 
Tatizo lako wewe in uyanga ndo unakusumbua sio issue ya adhabu tatizo lako point zimeenda kwa nani na sio sheria, kama zingeenda kwa majimaji usingekuja hapa.
 
Tatizo lako wewe in uyanga ndo unakusumbua sio issue ya adhabu tatizo lako point zimeenda kwa nani na sio sheria, kama zingeenda kwa majimaji usingekuja hapa.
Tatizo na sheria si usimba kabisa
 
UNAKUMBUKA HAJIB ALICHEZA NANKADI TATU UWANJANI YANGA WALIPOFWATILIA WALIJIBIWA KAMATIYAKONYO IMEPITISHA TIMU INAUWEZO WAKUAMUA MECHI YA ADHABU WSCHEZE LINI...MMEKULA MAFYIIYENUU NA KAMA KAGERS NDIOWALE KAZIIPO
 
UKITAKA KUJUA ULIMBUKENI WAHIZO KAMATI YULE ALIOKATIWA NA YANGA RUFAA WALIGOMA KUTOA POINTS WAKAMSIMAMISHA MCHEZAJI MBAAFU

SIOO KAGERA KUNS MADUDU LIGI DARAJA LAKWANZA HUKO TIMUZIMEPEWA UBINGWS MEZANI
 
Hapa shida ni TFF?au Kagera au Simba nionavyo shida wakati gani adhabu imetolewa ingekuwa ni mwanzoni mwa ligi haya tusinge ya sikia.
 
Kunya mnye nyie,akinya hata kaharisha!Wakati Simba wananyang'anywa point mbona hatukusikia maoni kama haya?
 
Kunya mnye nyie,akinya hata kaharisha!Wakati Simba wananyang'anywa point mbona hatukusikia maoni kama haya?
May be tulikuwa na majukumu Nje ya nchi hatukuwa na taarifa za michezo za ndani.
 
Hapo ni kuiondoa ktk mashindano kabisa sio kubadili matokeo ya uwanjani na kuwapa wengine.
kwa hiyo kagera washushwe daraja au unatakaje mwaka Jana Azam alinyanganywa point mkapewa mlichekelea sana kwa simba mnanuna ndo maana Tz hatuendelei
 
kwa hiyo kagera washushwe daraja au unatakaje mwaka Jana Azam alinyanganywa point mkapewa mlichekelea sana kwa simba mnanuna ndo maana Tz hatuendelei
Hata kwa azam ilikuwa ni makosa pia kupewa Yanga hizo point

Ushindi wa mezani haufai kabisa.
 
Opponent Alisonga mbele wakati Madrid alishashinda
Jamaa hakupewa ushindi ila Madrid aliondolewa ktk mashindano. Na ile timu nyingine ikabaki na kuchukua nafasi ya Madrid
 
TFF haitungi Sheria za Soka Sheria za Soka zinatungwa Na FIFA
Acha ushamba wewe FIFA inasimamia sheria 17 za soka duniani... lakin pia chama husika cha mashindano husika kinaweza tunga sheria zake kulingana na mashindano mfn. Wingereza ukipata kadi ligi kuu inatumika mpk FA haya pia mbn ligi zingne teknolojia ya video inatumika kwingne haitumiki?? Njoo tz kadi za ligi hazitambuliki FA yule mchezaj wa kagera ana kadi mbili za ligi moja ya FA pia sheria za ligi ya bongo zinamruhusu mchezaji mwenyewe 3 card kuchagua mechi ya kutocheza mfn AJIBU alichagya mechi msimu uliopita so bongo kamati ndo kila kitu
 
Ila serengeti boys kufuzu kwa ushindi wa mezani sawa
 
Sawa Ajibu mzee wa kuchagua mechi ila kwa wengine wanakatwa pointi
 
Nimekusoma sana naomba unipe ufafanuzi ilikuaje simba dhidi ya polisi dsm ambapo lufunga alikua na red kadi mechi ya mwisho ya msimu uliopita ila huu ulipoanza jamaa kacheza walipomwekea pingamizi TFF wanajib timu ilichelewa na pia haikulipa fee kwani TFF hakuna kumbukumbu? Bongo hakuna mpira ni kamati mwaka huu ni muda wa uchaguzi sasa malinzi anarudi vip madarakani akati simba wanajua malinzi yanga so lazima maandaliz na maamuzi magumu yachukuliwe
 
Real madrid walitolewa kombe la mfalme kwa kumzesha mchezaji aliekua na red kama simba kwa lufunga mechi ya polis dsm
 
Ila serengeti boys kufuzu kwa ushindi wa mezani sawa
Sio ushindi wa mezani Timu ya Congo imeondolewa ktk mashindano kabisa kwa makosa ya kumchezesha mchezaji aliyezidi umri na kukataa kumpeleka kwa vipimo CAF Misri walipohitajika na Tanzania kuchukua nafasi yake.
 
Hivi hii masaa 72 inamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…