Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

Siku mbili nyuma nimeshuhudia tukio ambalo serikali imelikalia kimya ila lingeweza kuleta madhara makubwa sana kwa Jamii.

kondoo zaidi ya mia 4 zimechinjwa bila kufuata taratibu za kiafya na kisha kugawiwa kwa raia!

Je, hii mifugo ilikuwa salama kiafya haikua na magonjwa yoyote?

serikali ilituma wawakilishi wake kusimamia usalama katika machinjio yale yasiyokuwa rasmi?
Acha chuki kafiri wewe mla nguruwe
 
Waislam ni waminifu hawali vibudu ingekuwa dini nyingine wangewalisha wenzao mizoga
 
Makafara hayo wanachukua nyota zenu.

Endeleeni kupenda vya bure.
 
Sema tu kwa wale watu ambao ni wapigania haki za wanyama, watakuwa wanaumia sana. Maana wanyama wanachinjwa hadharani tu. Ule ni ukatili kwa wanyama mpaka basi.
 
Back
Top Bottom