Sheria zinasemaje kuhusu hili? Polisi kasambaza picha za Mtuhumiwa wa Uhalifu mitandaoni

Sheria zinasemaje kuhusu hili? Polisi kasambaza picha za Mtuhumiwa wa Uhalifu mitandaoni

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Huyu Dada ame trend sana mitandaoni kwa kitendo alichokifanya siku kadhaa zilizopita!!

Baada ya hilo tukio, taarifa zilisema anapaswa kukamatwa ama aende.mwenyewe kuripoti kituo cha Polisi.

Kafika huko nako kapigwa picha na zimesambaa tena mitandaoni.

Je hii kisheria haiwez kumsaidia kufungua kesi nyingine dhidi ya huyu Polisi?
FB_IMG_1640839859270.jpg
 
Daaahh!!Watanzania kazi tunayo walahi.Hivi unahitaji PhD kujua kuwa Tanzania haina Polisi wala sheria wala serikali?

Hujasikia kuwa huko Moshi watu wanabambikiziwa kesi za mauaji kisha wanalazwa kwenye mahabusu zenye maji bila kuruhusiwa kuonana na ndugu zao wala ndugu kuwaletea chakula hadi wanakufa?Sasa kwenye mazingira kama haya utasema kuwa kuna Polisi,sheria au Serikali?
 
... sio tu kusambaza picha za/yake mitandaoni, bali sioni mantiki ya polisi kumpiga picha unless PGO ndio inaelekeza hivyo na kama ndivyo ni kwa matumizi ya ofisi tu na kutakuwa na wataalamu maalumu wenye ruhusa ya kufanya hivyo kwa kutumia kamera za ofisi na sio kila "mhuni". Hili jeshi lina majitu hayana maadili ya kazi kabisa!
 
Kuna MTU aliwahi kusema eti msiwachezee polisi. Alisema na wapigwe tu. Nijuavyo Mimi polisi wanauwezo wa kufanya watakalo na wasihojiwe na kama unabisha unijuze kama hili litafanyiwa kazi! Hapa ni Tanzania.
 
Vigezo vya kuapply police:

[emoji2771]Form four wenye division 4 ya 28 hadi 31.
 
Back
Top Bottom