Daaahh!!Watanzania kazi tunayo walahi.Hivi unahitaji PhD kujua kuwa Tanzania haina Polisi wala sheria wala serikali?
Hujasikia kuwa huko Moshi watu wanabambikiziwa kesi za mauaji kisha wanalazwa kwenye mahabusu zenye maji bila kuruhusiwa kuonana na ndugu zao wala ndugu kuwaletea chakula hadi wanakufa?Sasa kwenye mazingira kama haya utasema kuwa kuna Polisi,sheria au Serikali?