Muda umeisha...Mnafanya mambo kishabiki mno.
Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno
Ukishangaa Sheta kuwa Meya usishangae pia na Mwana FA ambaye hakuwahi kuwa na historia yoyote ya uongozi ambaye sasa ni waziri🙌🤣Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar
CCM heshimuni basi wananchi kidogo
Mnafanya mambo kishabiki mno.
Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno
Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha mikataba na zabuni zenu kifisadi na Kwa ulaghai
SHETA ni msanii hajawahi kuwa hata balozi, mmeiba uchaguzi mkampa kura hewa na eti Leo SHETA ndo Meya wa Jiji la Dar es salaam
Jiji la Dar es salaam ndo lango la Tanzania, East Africa na nchi zote za maziwa makuu
Dar ina Fursa nyingi na changamoto nyingi
Leo mnampa SHETA ambaye ni mchanga kwenye uongozi, mnampa Jiji kubwa kama Dar es salaam
View attachment 3511336
Nadhani wewe ndiye mwenye matatizo makubwa kwa sababu unasubiri nazi ianguke chini ya mti wa mchongoma. Pia huenda ufahamu wako ni mdogo kiasi ambacho hujui tatizo la uongozi wa Tanzania sasa hivi ni nini! Na ni watanzania wengi wenye uelewa finyu kama wako....Doga anakera sana
Sawa naheshimu mtazamo wako MkuuNadhani wewe ndiye mwenye matatizo makubwa kwa sababu unasubiri nazi ianguke chini ya mti wa mchongoma. Pia huenda ufahamu wako ni mdogo kiasi ambacho hujui tatizo la uongozi wa Tanzania sasa hivi ni nini! Na ni watanzania wengi wenye uelewa finyu kama wako....
Wachina wote wanaongea Kiingereza? Mbona wana maendeleo? Uelewa wa Mtu haupimwi kwa Mtu anaongea lugha ya kigeni kiasi gani? Na uelewa wa Mtu haupimwi kwa kuwa Mjuzi wa kuongea Kiingereza. Ndiyo maana kwenye mikutano mikubwa huwa kuna Translators. Kiswahili ni lugha inayokua Afrika na duniani. Kwahiyo atawatumia Translators, yeye ataongea Kiswahili Mtafsiri ataongea kwa lugha ya hao wageni. Kwahiyo siyo jambo kubwa sana hilo ni vile tulivyoziweka akili zetu wabongo kwamba mtu asipokuwa Mfasaha wa kiingereza tunamuona kituko.Hii sio pro-development government, wako focused on building a ‘populist’ government. Ndio wanapoingia hawa wabangaizaji wao wasanii na ghasia zingine lengo ni kuvutia demographic segments zao.
Vinginevyo Shetta sijui ataongea nini siku akitembelewa na wageni wa kizungu bila ya interpreter.
Kwa walipofikia hata kumlalikia kiazi mmoja ni kama uonevu tu, maana wapo kila ngazi ya serikali sampuli hiyo hiyo.
Shetta kaishia darasa la saba; nafasi aliyonayo ni sawa na senior manager.Wachina wote wanaongea Kiingereza? Mbona wana maendeleo? Uelewa wa Mtu haupimwi kwa Mtu anaongea lugha ya kigeni kiasi gani? Na uelewa wa Mtu haupimwi kwa kuwa Mjuzi wa kuongea Kiingereza. Ndiyo maana kwenye mikutano mikubwa huwa kuna Translators. Kiswahili ni lugha inayokua Afrika na duniani. Kwahiyo atawatumia Translators, yeye ataongea Kiswahili Mtafsiri ataongea kwa lugha ya hao wageni. Kwahiyo siyo jambo kubwa sana hilo ni vile tulivyoziweka akili zetu wabongo kwamba mtu asipokuwa Mfasaha wa kiingereza tunamuona kituko.
Hahahahaha sasa si hakua na fursa za kupata elaShetta n ngo inaitwa Sawa initaitive imemshinda na ilkuw na wafanyakaz saba tu alikuwa hawalipi
Ukianza na Samia ukaja kwa sheta, hitimisho linakuwa moja tu, nalo ni kwamba hata hao wa makumbusho viwango vyao ni hivyo hivyo.Na hao wazee wa Makumbusho wamekaa wanaangalia tuu..
hii nchi ni kmmake asee...
Jiji la Dar ndilo ataliweza?Shetta n ngo inaitwa Sawa initaitive imemshinda na ilkuw na wafanyakaz saba tu alikuwa hawalipi
Ulitakiwa uonyeshe tatizo lipo kwenye mzizi (Rais) ndio haya yametokea!Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar
CCM heshimuni basi wananchi kidogo
Mnafanya mambo kishabiki mno.
Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno
Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha mikataba na zabuni zenu kifisadi na Kwa ulaghai
SHETA ni msanii hajawahi kuwa hata balozi, mmeiba uchaguzi mkampa kura hewa na eti Leo SHETA ndo Meya wa Jiji la Dar es salaam
Jiji la Dar es salaam ndo lango la Tanzania, East Africa na nchi zote za maziwa makuu
Dar ina Fursa nyingi na changamoto nyingi
Leo mnampa SHETA ambaye ni mchanga kwenye uongozi, mnampa Jiji kubwa kama Dar es salaam
View attachment 3511336
Ndo usilipe wafanyakazi? Unajua maana ya kuwq na wafanyakazi mkuuHahahahaha sasa si hakua na fursa za kupata ela