SHETA hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam, CCM fanyeni vetting ya viongozi wa wakubwa

N chi hii sahv akiili ndogo,upeo mdg ndy wanapewa nafasi...jiulizeni kwanini
Huyo songoro mnyonge alikuwa wale wale

Ova
Nafasi ya umeya inatakiwa apewe mtu mwenye uelewa mpana ,mtu mwenye exposure kubwa maana plan ya maendeleo ipo mikononi mwake ,sasa ukimpa mtu TABULASA kuongoza jiji kama la Dar halafu Empty Set inakuwa ni SHIDA.
 
Nyumbu huna akili serekali iliyopo unasema huitambui alafu unawachagulia mayor awe nani?

Kweli nyumbu ni msahaulifu sana, nyumbu anamuona mamba lakini ndani ya sekunde mbili anasahau na kusema ni gogo lile mwisho wa siku analiwa.
Kama mtu aliyepata D moja tu tena ya kiswahili matokeo ya form 4 mmempa urais, ni sawa kbs kwa sheta kuwa mstahiki meya wa darisalama!
 
Binafsi Sina chuki yoyote na SHETA ni kuwa naheshimu sana, ila Niseme wazi huyu bwana hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar

CCM heshimuni basi wananchi kidogo

Mnafanya mambo kishabiki mno.

Mnawapa watu dhaifu madaraka makubwa mno

Au ndo mnawapa madaraka ili muweze kuwaendesha na kupitisha mikataba na zabuni zenu kifisadi na Kwa ulaghai

SHETA ni msanii hajawahi kuwa hata balozi, mmeiba uchaguzi mkampa kura hewa na eti Leo SHETA ndo Meya wa Jiji la Dar es salaam

Jiji la Dar es salaam ndo lango la Tanzania, East Africa na nchi zote za maziwa makuu

Dar ina Fursa nyingi na changamoto nyingi

Leo mnampa SHETA ambaye ni mchanga kwenye uongozi, mnampa Jiji kubwa kama Dar es salaam
View attachment 3511336
Dondosha CV yake
 
Yaani mtu aliyejichora Tattoo, kutoboa masikio na pua anayepumuliwa ndiyo amekuwa nani?
 
Hamna la ajabu😂 tusubirie Juma Nature nae kupewa cheo BASATA.
 
Nyumbu huna akili serekali iliyopo unasema huitambui alafu unawachagulia mayor awe nani?

Kweli nyumbu ni msahaulifu sana, nyumbu anamuona mamba lakini ndani ya sekunde mbili anasahau na kusema ni gogo lile mwisho wa siku analiwa.
Wewe jamaa ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom