Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea utopolo mtupu kama mungu alikua anajua hayo mbona hakuyasema mpaka wanasayansi wanagundua ndio mnakuja sema nyenyenye..Kuna wakati nawaza
Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.
Yaani nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii kutimia.
Kama vile Kila mtu kulipwa mshahara kutokana na matendo yake duniani(yaani day of judgment),wenye dhambi wakatupwa kwenye ziwa la moto,na shetani na vikosi vyake kutupwa kwenye ziwa la moto Kwa ajili ya kuteswa na wanadamu katiki pindi kisichokuwa na mwisho( Un-Ending existence kwenye ziwa la moto ),na dunia yetu ku-kunjwa Kama karatasi na kutupwa kwenye ziwa la moto
Na baada ya Mungu kufanya mwanzo mpya wa maisha ya Watoto wake walio kuwa watiifu na kuishi maisha matakatifu waliookuwa duniani na Mungu kuishi na wanadamu Milele
Soma kitabu Cha :
ufunuo 21:3-5 ,NAYO inasema,
3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.
Baadaye Sana huko kwenye maisha yasio kuwa na mwisho yaani Un-Ending existence
Huko kipindi Cha mbeleni Sana in heaven
Kuna Uwezekano wa MUNGU kuumba 1000,000,000,000,000 of UNIVERSES na zaidi[\B]
Yaani huko mbeleni Sana Mungu anaweza kuumba limwengu za anga zinginezo billions zaidi na za ajabu zaidi na kubwa Mara maelfu ya hii tulio NAYO now,ambayo inawasumbua NASA kuumiza kichwa kuitafit,i .
Na akawamilikisha wanae yaani wacha Mungu.
Ndio maana watu mnahimizwa kutenda mema kuishi Katika utakatifu maana hamjui mangapi Mungu amewaandaria,kwenye maisha ambayo ni Un-Ending existence.
Na Makao makuu ya hizo universes zote ni kwenye mbingu yake.
Hili ni wazo ambalo limenijia baada ya kuwa kwenye tafakari ya kina ya kutafakari ukuu wa Mungu baada ya kusoma
Maandiko haya mawili,
Mwanzo 1:1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu (universe) na nchi.
Na andiko la pili ni
Ufunuo 20:11
11 Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu(yaani universe) zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.[\B]
Kwenye andiko la kwanza
Mwanzo1:1
inamthibitisha Mungu , kuwa Kwa namna ya ajabu aliumba universe(s).
Ambayo NASA wanapoteza muda wao, na gharama zao kuitafiti.
Na
ufunuo 20:11
Tunaoneshwa kuwa hiyohiyo universe wanayoiangaikia kutwa nzima NASA , ambayo wakina Elon musk wanaisumbukia na makampuni mengine, kiutafiti.
Ajabu Kwa Mungu inampisha , yaani Kwa namna nyingine Mungu anaweza kuikunja Kama karatasi hii universe au kuipoteza hii universe Kama upepo
Na Kama vile kapeti akatandika kapeti jipya yaani akatandika universe nyingine/akaweka universe nyingine.
Vyeo na majukumu ambayo Mungu , pengine anaweza toa Kulingana na mtu alivyojitoa maisha yake Kwa Mungu,alipokuwa duniani,ndio hapo watu watajiuma na kuona jinsi walivyo utowa muda wa maisha Yao Kwa vitu visivyo vya msingi walipo kuwa duniani, Yaani walipoteza muda wao Kwa vitu vingine badala ya ibada na kukuza uhusiano wao na Mungu na kuzidi kujitakasa.
Na walio poteza muda japo ni watakatifu na wameingia mbinguni na wakicheki kuludi duniani haiwezekaniki Tena Milele yaani mahesabu ya Kila mtu akiondoka duniani ndio yanafungwa Kwa kutiwa mihuli kuwa muda wake umekwisha duniani na hatoweza Tena kuludi duniani.
Watu wanajisumbua kumiliki na kutafuta ukuu duniani na umaarufu,fedha,madini dhahabu ,utajili na kujilimbikizia Mali nyingi,
Wakati Mungu anaweza kuumba pia billions of planets kwenye billions of universe huko mbeleni na kuwapa Watoto wake walio kuwa waaminifu ,walio kuwa wakichekwa duniani na kudharauriwa walipokuwa duniani.
Na kuwapa wa miliki pamoja na bwana yesu kristo mwana wa Mungu Milele.
Wacha Mungu aitwe Mungu
Ushauri.
Utunzeni utakatifu,maana yajayo yanafurahisha.
Kuna Un-Ending existence inatusubiri Kila mmoja wetu , either uwe mbinguni au kwenye ziwa la moto , chaguo ni LAKO andaa vema maisha yako.
Bado ni chauongo na kusadikikaTafuta kitabu kinaitwa before Adam ambacho kinaelezea maisha ya Adam kabla na baada ya kuumbwa na harakati zake akiwa bustani ya Edeni, japo Kanisa imekataa kukikubali ila kilipatikana kwenye mojawapo ya machapisho ya kale.
Mada nzuri ila unamchukulia MUNGU kama bibi yako 'usidanganyike mungu hadhiakiwi'Habarini wakuu.
E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi.
Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa.
Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na pamechoka sana,yaani jangwa tupu ,sasa Mungu akapiga hesabu ,namna gani atamuaibisha huyu kiumbe ,baada ya huyu kiumbe kujinadi malaika si chochote maana aliwapa kichapo si mchezo. Mungu akaona ili kumwonesha shetani kuwa yeye huwa hategemei malaka wenye nguvu ili kumshinda bali hata kiumbe chochote dhaifu kinaweza mshinda ,maana imeandikwa si kwa uwezo wa silaha ulizo nazo bali ni kwa uwezo wa Mungu.
Basi Mungu akaumba kiumbe kimoja ambacho ni binadamu kwa kutumia udongo yaani malighafi dhaifu sana katika maswala ya uumbaji.
Baada ya kumuumba huyu binadamu sikiliza dongo alilolituma sasa .
Akamwambia nenda ukatawale viumbe vyote vya baharini,nchi kavu na angani ,hapo kumbuka na shetani yumo duniani hapo wakati Mungu anampa binadamu mamlaka hayo! .pia jiulize kwa akili yako Mungu alituumba ili tukatawale samaki,kumbikumbi,nguruwe,panya na wengineo embu funguka akili yako.
Hapo sasa ndipo ukaanza mtiti si unajua huyu kiumbe ni mtata,?
Zikapigwa wee mwishowe Mungu akamwambia shetani hutamshinda huyu kiumbe kamwe maana nitaweka Roho yangu juu yake.
Bwana hii vita bado inaendelea hadi sasa baina ya binadamu wenye Roho ya Mungu na shetani ,ndio maana duniani hakukaliki ,ukikaa kizembe unawahishwa .
Watch and pray hali so hali
according to youMungu alimuelekeza moses, achonge sanamu ya NYOKA, na wayahudi waliambiwa wamtizame nyoka yule alieangikwa kwenye mti(msalabani)
Ili wapate uponyaji,
Jehova(yesu),alitaka kujifananisha na mungu, akatupwa duniani,
Katika umbile la nyoka, akajaribu kumrubuni hawa,
Hao waliyowaaminisha watu kuwa binaadamu kaumbwa na udongo wanapata faida au walilenga nini katika hilo?Mtu kaumbwa na udongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu ndio wazimu wa waarabu na wayahudi walioamua kuaminisha watu
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
dini imetokana na watuvwachache kutaka shika watu akili.. dini sifa yake kuu ni kuanzisha vita na kuchukua watu utumwaniHao waliyowaaminisha watu kuwa binaadamu kaumbwa na udongo wanapata faida au walilenga nini katika hilo?
Watu wanakusubiri uwatafsirie ndoto zaoHabarini wakuu.
E bwana kuna kitu nimekifuma mahali nimeona nikilete mezani najua tutajuzana mengi.
Ni hivi kuna dhana kuwa,shetani alikuwepo duniani kabla binadamu hajaumbwa.
Kivipi,baada ya ile vita kuu mbinguni kutokea ,na shetani akashindwa ,alitupwa duniani ambapo kulikua ukiwa na pamechoka sana,yaani jangwa tupu ,sasa Mungu akapiga hesabu ,namna gani atamuaibisha huyu kiumbe ,baada ya huyu kiumbe kujinadi malaika si chochote maana aliwapa kichapo si mchezo. Mungu akaona ili kumwonesha shetani kuwa yeye huwa hategemei malaka wenye nguvu ili kumshinda bali hata kiumbe chochote dhaifu kinaweza mshinda ,maana imeandikwa si kwa uwezo wa silaha ulizo nazo bali ni kwa uwezo wa Mungu.
Basi Mungu akaumba kiumbe kimoja ambacho ni binadamu kwa kutumia udongo yaani malighafi dhaifu sana katika maswala ya uumbaji.
Baada ya kumuumba huyu binadamu sikiliza dongo alilolituma sasa .
Akamwambia nenda ukatawale viumbe vyote vya baharini,nchi kavu na angani ,hapo kumbuka na shetani yumo duniani hapo wakati Mungu anampa binadamu mamlaka hayo! .pia jiulize kwa akili yako Mungu alituumba ili tukatawale samaki,kumbikumbi,nguruwe,panya na wengineo embu funguka akili yako.
Hapo sasa ndipo ukaanza mtiti si unajua huyu kiumbe ni mtata,?
Zikapigwa wee mwishowe Mungu akamwambia shetani hutamshinda huyu kiumbe kamwe maana nitaweka Roho yangu juu yake.
Bwana hii vita bado inaendelea hadi sasa baina ya binadamu wenye Roho ya Mungu na shetani ,ndio maana duniani hakukaliki ,ukikaa kizembe unawahishwa .
Watch and pray hali so hali
Sijauliza kuhusu dini bali nimeuliza hilo la kuaminisha watu kuwa binaadamu ametokana na udongo, lengo lilikuwa ni nini ni kipi walikilenga?dini imetokana na watuvwachache kutaka shika watu akili.. dini sifa yake kuu ni kuanzisha vita na kuchukua watu utumwani
Chunga mdomo huooYOTE KWA YOTE SHETANI NI NYOKA MDOGO SANA KWA MUNGU
Ur Too slowIla kama Shetani alipambana na malaika huko basi sisi binaadamu huyu shetani sio level zetu kabisa.
Sawa.Ur Too slow
Creation of lucifer was,now and shall be a big mistakeJibu kama asiyeamini:-
Huyo Mungu atakuwa dhaifu sana kila siku kushindana na kiumbe alichokiumba mwenyewe na bado kikaweza kumtoa kasolo na had kufikia hatua ya kususia na kuonesha ukatili kwa viumbe vyake(garika la nuhuu na sodoma na gomora) na mda mwingne kutoa kauli za kuonesha kashindwa (halipoamua kuwapunguzia wanadamu umri wa kuishi)
Hiv vip kama ukigundua kuwa binadam ni kama character wa kwenye game? Kwamba kuna watu wanashindana kutuchezesha?
Jibu kama anaeamini:-
Ngoja nimtangulize Mungu tu atanipigania kwenye hio Vita maana lengo la shetani ni kuharibu umbaji wa Mungu