Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Wayahudi hawana habari ya mungu yuko mbinguni, wala hawaamini uwepo wa shetani,,, wao wanaamini mungu na shetani ni kitu kile kile , yaani ana pande mbili positive na negative ,,Wacha stori zakusadikika zisizo na ukwel
jiulize hiv waafrika hamnaga history yoyote inayohusu uumbaji nje ya hizo dini zilizokuja kwa bahati mbaya?.
Je bila ujio wa izo dini tusingejua kuwa kuna Mungu? ama kabla ya ujio wa hizo dini za kusadikika hakukuwai kuwa na waafrika waliokuwa na masimulizi yao kuhusu chanzo cha maisha ya dunia?
Ukweli ni kwamba, history ipo na kuhusu uumbaji na maisha ya viumbe wote wa kimwili na kiroho story zipo, achana na hayo mahadith yenu ya uongo mliyokalilishwa na hizo dini bandia.
Huyo Mungu wenu anasema anakaa mbingun, lkn ktk kitabu chake cha mwanzo anasema aliumba mbingu(makazi ya malaika) na nchi(makazi ya wanyama&watu), je aliumba akiwa wapi? Huoni mkanganyiko huo na uongo wa kujipinga?
Alafu wakati mtu anaumbwa huyo shetan inaonesha hakuwepo dunian, maana dunia ilikuwa tupu mpka pale biblia zenu znaposema Roho wa Mungu alishuka dunian ktk virindi vya maji kipind ambacho hakukuwa na aina yoyote ya kiumbe dunian maana ilikuwa ukiwa mtupu,
baadae tena unakuja kumuona shetan ktk umbile la nyoka kuwadanganya wakina eva&adam hapo baada ya uumbaji wa kila kitu, je huyo shetan alikuwa wapi? Wakat hata mbingun hakuwepo?.
Watu wengi hamujui lolote kuhusu viumbe wa kiroho, kimsingi ni kuwa kiumbe aliyeumbwa leo, kinguvu ni tofaut na yule atakaye umbwa kesho ama kesho kutwa, kumaanisha kuwa, hata shetan alikuwa na nguvu kubwa kulko mtu ambaye alkuja kuumbwa baadae sana, baada ya mamilion ya viumbe wa kiroho kuumbwa.
Je huoni ni uonevu na ukatili mkubwa kwa Mungu kumshindanisha shetan mwenye kila aina za Nguvu dhidi ya mtu ambaye hana nguvu zozote za kiroho, nje ya nguvu za kimwili ambazo nazo ni limited?
Achen kudanganywa na kupelekeshwa kama watoto wadogo.
History ya kwel kuhusu uumbaji, ipo na ilikuwepo barani afrika kwa babu zetu, baada ya ukoloni kuja na kuiba history zetu wakabadili bila kukumbuka kuwa uongo unasifa ya kujiumbua, na ndivyo hivyo story zote za misahafu ni uongo uliotungwa kutoka ktk historia ya mtu mweus aliyeish afrika ya kale.
Huyo mnaemuita shetan sehemu aliyotupwa wala si dunian, na Lengo la uumbaji wa Mtu ktk ardhi ya dunia wala si kushindanisha viumbe,
Huyo shetan hajawai na hatowai kupigana na Mungu maana hajawai kumuona na hatowai kumuona, viumbe aliopigana nao ni wale makerubi walio juu yake, yaan wenye nguvu zaid yake.
Mahala walipo hawa wafuasi waliofukuzwa mbinguni si dunian maana wao ni roho, na dunia haipatikan ktk ulimwengu wa roho, bali wao kihelehele chao ndicho kiliwatuma kuja dunian kuharibu uumbaji wa Mungu baada ya kushindwa ile vita ya Mbinguni.
Mungu wa kweli haishi Mbingun, kwakuwa mbingu nikama jengo ambalo mjenzi wake alikuwepo kabla ya jengo hilo kuundwa, je mjenzi alikuwa wapi na yupo wapi?
Unatakiwa kujua kuwa mtu mweusi ndiye kiumbe original kati ya wanadamu, maana ndye aliyeumbwa kwa materials Original za udongo bila uchakachuzi,
Hao wanadamu wa rangi zingine yaan white races hao ni zao la wale malaika wahasi waliozaliana na wanawake weusi na ndipo likaibuka zao la machotara wajawa laana, ambao ndio hawa mpka leo wanaharibu asili ya dunia the sameway wazaz wao(fallen Angeles) walivyowatuma.
Elimu hii hutowai ipata popote pale ktk izo dini zenu za uongo, maana huko hawaruhusu mtu kujifunza kweli, zaidi ya kulishwa neno la Uongo ili kuzid kukupofusha.
Tafuten sana Elimu
View attachment 2095760
Wao hawana mwisho wa dunia, bali wanaamini atakuja masiha,,, yaani mfalme na atatawala dunia yote kutokea JERUSALEM MPYA, na dini itakuwa moja yaani Jewish,,
Hizi hallucinations walizipata kutokana na stress, kipindi wamepoteza kingdom yao ya Yudah na kuchukuliwa utumwani babeli,,
Waandishi na mafarisayo wa kiyahudi walifaulu sana kufanya hii myth kuwa spritual believes ambayo baadae ndo ilizaa hizi dini zingine,,, lakini hata wao walidokoa mambo mengi toka kwa wababeli, na waashuru,,,
Mfano mmoja ikiwa ni amri kumi ambazo walinyofoa toka kwa Hammurabi wa Akkadian