Shetani alikuwepo duniani kabla ya kuumbwa binadamu

Wayahudi hawana habari ya mungu yuko mbinguni, wala hawaamini uwepo wa shetani,,, wao wanaamini mungu na shetani ni kitu kile kile , yaani ana pande mbili positive na negative ,,
Wao hawana mwisho wa dunia, bali wanaamini atakuja masiha,,, yaani mfalme na atatawala dunia yote kutokea JERUSALEM MPYA, na dini itakuwa moja yaani Jewish,,

Hizi hallucinations walizipata kutokana na stress, kipindi wamepoteza kingdom yao ya Yudah na kuchukuliwa utumwani babeli,,
Waandishi na mafarisayo wa kiyahudi walifaulu sana kufanya hii myth kuwa spritual believes ambayo baadae ndo ilizaa hizi dini zingine,,, lakini hata wao walidokoa mambo mengi toka kwa wababeli, na waashuru,,,
Mfano mmoja ikiwa ni amri kumi ambazo walinyofoa toka kwa Hammurabi wa Akkadian
 
Kwan hizo amri zao zinatofauti na zakwenye bible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…