Shetani ana uwezo mkubwa sana

Utoto bhana, kwa hiyo akili zako zimeishia ukomo wa kuniita sina akili bila ya hekima za kujadiliana na mimi pasipo matusi?

Kila Mtu ashushe matusi yake hapa patakuwa salama kweli?
 
Utoto bhana, kwa hiyo akili zako zimeishia ukomo wa kuniita sina akili bila ya hekima za kujadiliana na mimi pasipo matusi?

Kila Mtu ashushe matusi yake hapa patakuwa salama kweli?
Mnauzi sana...nyie ndo mnajipanga kwa kina shila na masanja mlishwe neno..halaf mnakuja kubishana huku..mnakera...mtu anaekulisha neno ana elimu ndogo kuliko wew na unakaa kabisa unamskiliza..kisa tu et huwez ku question mambo ya mungu..yaan hata mungu mwenyew anashangaa....ndomana shila anadirik hata kuongea mambo ya ajabu anajua kondoo watamskiliza tu na sadaka watatoa...use ua brain aliyokupa muumba wako tafadhal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi tunachimbwa mkwara kwmba tukimfuata tutaishia jehannama .
Najiuliza mgogoro wa shetani na mungu unamhusu vipi mwanadamu ???
Mbona shetani hajaandika vitabu vya kumshutumu mungu Kama mungu anavyoandika vitabu vinavyomshutumu shetani ??
 
Mbaya zaidi tunachimbwa mkwara kwmba tukimfuata tutaishia jehannama .
Najiuliza mgogoro wa shetani na mungu unamhusu vipi mwanadamu ???
Mbona shetani hajaandika vitabu vya kumshutumu mungu Kama mungu anavyoandika vitabu vinavyomshutumu shetani ??

Mungu hajaandika kitabu chochote ila tuna bible iliyoandikwa na watu as they were moved by the Holy Spirit

Hata Shetani hajaandika kitabu lakini kuna watu wafuasi wake ambao wameandika vitabu vingi tuu
Moja wapo ni The Satanic Bible!
Unaweza kukitafuta na kukisoma!

Kingine ni the Antichrist cha Fredrick Nietzsche

Bahati nzuri nimevisoma vyote hivi vitabu kwa hiyo najua Mashetani huwaza nini
 
Ukijua kwa sehemu tu concept ya mwanga (light) ndio walau utakuwa unajua nini maana ya Nuru na Giza

Sasa hawa vijana waliomaliza Sekondari za katani hata physics ya form two hawakusoma kwa kukosa mwalimu au kwa uzembe wao. Leo wanawezaje kuleta Advance stories za nuru (light) na giza (darkness) kwa Ulinganisho rahisi kabisa wa kuwa giza (devil) ni superior kuliko mwanga (Jesus)?

Nadhani pia ni sababu kwenye ufahamu wao kunae giza (darkness kingdom)

For further reference please read John Chapter One in New Treatment in Holy Bible
 


Huyo shetani ni kiumbe aliyeumbwa na nani??
 
Even though kwa kuwa wewe ni kiumbe chake,if you make a bad choice,ipo adhabu,and that is eternal hell.


Eternal hell??!!, halafu hapo hapo unasema Mungu wetu sio dictator !!🤣🤣

Mtu afanye makosa kwa muda fixed hapa duniani kinyume chake apate adhabu ya MILELE?!?---- is that an absolute justice??!
 
Mkuu kumbe shetani ni wa kiume?
 
Eternal hell??!!, halafu hapo hapo unasema Mungu wetu sio dictator !!🤣🤣

Mtu afanye makosa kwa muda fixed hapa duniani kinyume chake apate adhabu ya MILELE?!?---- is that an absolute justice??!
There is no absolute freedom anywhere.Kama hapa duniani unaadhibiwa kwa makosa ufanyayo,Mbinguni ni hivyo hivyo.Mbona duniani unaamini uko huru.Fikra zako zimepofushwa na Shetani ili umchukie Mungu.

The truth hata hivyo remains that una choice,you either choose God or Satan,and if you choose Satan you have choosen hell because Satan's place is hell.How do you choose the ways of Satan and go to Heaven?Heaven if for righteous people only!So choose today,Satan or God.
 
Jamaa ana hasira hadi bible imeandika kiasi cha hasira yake!!
Mkuu hata Mungu ana hasira si unakumbuka alivyo muangamiza kora na wenzake pale Kanesh Bernea?? tena hasira ya Mungu ikiwaka Juu yako heee! ni usiombee!!
Kwanza ni Kiumbe!
Sasa Kiumbe anamshindaje Aliyemuumba!
Kumbuka shetani alikuwa Malaika wa sifa,na muimbaji Mkuu Huko mbinguni!! sifa zake zilikuwa kubwa mnooo ''Mkuu wamalaika!! na Lucifer........Mungu alimwachia shetani mauwezo km yooote!!.....

sasa jiulize kwa nini Mungu hakumnyanganya huo uwezo awape wadadamu?? wkt akijua kuwa atasumbua wanadamu wasio kuwa nao?? sasa huoni Mungu bado anakihurumia kiumbe chake!

Hata wewe huwezi kumuua Mbwa wako Mzuri Mkubwa ulie Mugharamia chakula, majosho, na sindano, eti kwa sababu tu kala kuku wako!! lkn km huyohuyo Mbwa wako akila bata wa jirani yako ni rahisi sana jirani yako kumuua

sababu hajui uchungu wa kumtunza yule yule mbwa!! sawa na wewe Mwanadamu hujui uchungu na gharama alizo/anazo pata Mungu za kumtunza shetani!! unaona ni rhisi tu afe kwenye ziwa la moto!!

jiulize tu je na wewe unapenda kufa ivo!...na gharama alizopata Mungu kumtengeneza shetani kwakweli ni kubwa mnooo!!...mpaka leo anamgharamia!! tena shetani anamuomba Mungu kuliko unavyodhania!!! na anajibiwa!!

Biblia inasema Kesheni mkiomba maana mshitaki wenu anaomba usiku na mchana!!..... Mwenzenu anafunga na kuomba tena anajua Kupiga maombi ni usiombe na anajibiwa!....... maombi yake!! nyie ambao hamjui uchungu wa gharama za kumtengeneza shetani mnaona rahisi tu akufilie kwa mbali weee thubutu!!!

Hata ufanyeje na yeye ni mwana wa Mungu tu!! huwezi kuiondoa hiyo!! sometimes km wewe au zaidi yako!....... usihangaike wewe kuwa fair tu!!! Mungu akikuhurumia basi shukuru kuwa utaingia Paradiso!!!

Lkn Akikukataa mwana utaumia sana....tena hapahapa Dunuani.....muacheni shetani wa watu anenepe!! kwanza ni kaka yenu uongo!!..sasa unachukia ndg yako???

cha kufanya mpingeni tu pale anapo kudnganya siyo kumchukia!!! ooh! lishetani!!oooh libaya!! yaani hata wkt mwingine anawachekaga sana.....mra mmchore akiwa jeusiiiii km mkaa!! mara kichwa km jipopo bawa!

kwa kumchora ivo shetani mnamkashfu Mungu bila kujau sababu ndo aliye muumba sasa Mungu ataumba gujidude tu!! gubaya baya??......nina hakika shetani akija leo wengi mta muabudu sababu nyie mtadhani ni gujidude flani hivi!!

kuuumbe shetani ni mzuri kuliko Miss world!! Malaika wa sifa UONGO?
 
What is it:accept Jesus Christ as your personal savior,after which you will receive the Holy Spirit
Hapa ndo weusi mnaingia chaka mbaya! mpaka basiiii!...sasaaa jesus yupi?? maana najua hao ma-jesus wako wengi??? Africans wengi kwa miaka mingi mnaabudu msicho kijua kabisaaa!! haya siyo mananeno yangu! bali hii ni laana ya Musa!!

alitamka wazi bila kificho ktk hotuba yake ya kwanza kabla ya kuingia nchi ya ahadi!...,,na kweli ndo km haya ya jesus wenu huyo!!
WHITE JESUS! WILL NEVER COME, DON'T DECEIVE YOURSELF! Mtasubiri sana ubungo stand!! sijui uwanja wa ndege KIA! hata hamueleweki!! lkn hata haji ng'oo!
 
Mbona tunampamba sana shetani? Kama ni mfuasi wake wa hiari, sio lazima kuaminisha umma kwamba ana nguvu sana. Hizo nguvu zake ziko wapi??? Kurogana wenyewe kwa wenyewe bila sababu?
 
Quran na biblia zinasema kuwa Mungu yupo na shetani aliumbwa na Mungu,Na pia wanaaamini kuwa Mungu anajua yote yaan anajua yanayokuja swali kama Mungu anajua yanayokuja kwanini alimuumba shetani wakati akijua atakuja kuwa mpinzani na adui yake kwanini katika darubini zake hakuona kuwa shetani atakuja kumpinga?
Kitendo cha mungu kuruhusu shetani kuumbwa lazima dhambi ziwepo kwa maana nyingine mungu ndio kaumba mabaya na maovu yote duniani hivyo basi kwa maneno rahisi Mungu ndio shetani mwenyewe
 
Ahaaaa!!! Nimeipenda hii,kwanza mtoa uzi inabidi ajue shetani hana chake ulimwenguni, ni mwizi tu ajawahi umba hata sindano.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, ni hatari.
 
Mkuu kwanza nn kimepelekea ww kuandika huu uzi?
 
Imeandikwa, mawazo na akili za mwanadamu aziwezi fananishwa na za Mungu.
Umelaaniwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…