Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Sehemu ya 1
Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo
siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa chochote, ni maji tu ndio tungekuwa tunauhakika nayo
Ni mdogo ninamiaka 15 sasa nawaza kuhusu hali yetu ikiwa mimi ndie mtoto pekee wa kiume baba yetu amekwisha fariki, mama amebeba mzigo mzito sana sana afanye kibarua ili sisi tule
Kisa kinaanza miaka mitatu mbele pale nilipo kwea mlima na kukaa juu yake mbele yangu kulikua na jiwe kubwa na miti minne, kwa mawazo yangu niliketi hapo mpaka giza likatanda sana, mara nikasikia
kijana mwana wa kigosi kwanini unahudhunika?
Nikageuka kwa hofu huku nikisimama haula sikuona mtu bali giza, nilipata woga na kujiuliza nimezembea vipi mpaga usiku unikute hapa? mama yangu atakuwa na hofu sana
Nikasikia tena Najua shida yako nitakusaidia nawe utanifanyia kazi yangu, Hamadi chini ya miti ile minne na juu ya mwamba kulikua na Mbwa mweusi tiii na ulimi kama wa nyoka yaani uliogawanyika, Wee Miguu nisaidie wapi.. sikuweza kukimbia kabisa kabisa
Akasema hutaweza kutoka hapa ila kwa amri yangu, na siku nyingine nitakapo kuja kwako nitakuja kwa maumbo tofauti tofauti usije ogopa utachizika
Weeweee ni nani? sauti ya woga ikinitoka nikiwa nimedondoka chini miguu isiweze sogea, Alijibu mimi ni baba yako tangu sasa, mimi ni mkuu wa pepo mimi ndimi tajiri kuliko wote uliowahi kuona au kusikia, aliendelea kijana unanyota nzuri nimekuwa nikisikiliza mawazo yako tangu siku ile walinzi wa eneo hili walipo nieleza kuhusu wewe, najua utakuwa mtiifu kwangu
Nenda nyumbani nitakupa pesa na mali nyingi kama utakavyo hutalia njaa tena, mara miguu ikapata nguvu wala sikusubiri ruhusa ni mbio mpaka nyumani kipindi naanza kukimbia nilisikia kishindo kikubwa sana ila wala sikugeuka uoga nilioupata unatosha sana
Nilipo fika nyumbani nikakutana na dada yangu wa kwamza, nilimsalimia hakuitika akazama ndani mama akatuita akasema tusali, mara nasikia sauti ikisema, Unafukuza pesa? unapenda umasikini ondoka usishiriki nao
Ikabidi nimwambie mama mimi najisikia vinaya siwezi hata kusimama, mama akasema nenda jikoni unywe uji upumzike nilipitiliza chumbani nikalala kwakua nilikua mtoto pekee wa kiume basi nililala mwenyewe mara naona mbwa aina ya bulldog akija kwa kasi na kusimama karibu yangu bin vuu kawa chura mkubwa na kutapika mbele yangu pesa, kisha akawa mjusi na kusema mimi ni baba yako nenda uchukue pesa chooni
Nikashtuka ni alfajiri nilipotoka niliakuta ndugu zangu wamekusanyana wakisema mama hajihisi vema hawezi kwenda kutafuta kitu kwa ajili yetu, ndipo nilipokumbuja ile ndoto na kukimbia chooni kweli nilikuta pesa nyingi tu, nikachota na kuzipeleka pale kwa ndugu zangu
dada yangu alianza wewe pesa hizi umezitoa chooni? nikajibu ndio akasema nani kaweka? nikajibu baba yangu Mama akadakia kusema baba yako alishakufa na sisi kwa imani yetu ni kuwa haiwezekani kabisa mfu kuleta kitu, dada yangu wa tatu akasema hatuwezi tumia pesa za kishirikina wote waliunga mkono ila mdogo wangu akasema tutumie tu sababu hatuna jinsi na mama anaumwa
kweli walifikiri mara mbilitatu kisha tukakubaliana tununue chakula na kumpeleka mama hospitalini kisha siku ya ijumaa tupitie gulioni tupate nguo nzuri, pesa hazikuwa ndogo ni nyingi sana
baada ya kukamilisha yote ndipo nilipoona pesa niliyobakiza ni nyingi, mama akasema kwanini usiende kuongea na inonga akupe mbinu za kufanya biashara ya nguo gulioni, kesho yake mapema nilimtafuta huyo mzee ambaye ambaye siku hiyo ya jpili alikua hazunguuki kwenye magulio, nilimweleza wazo la mama
akasema ni wazo zuri ila siku ya juma3 twende nae kama kijana wake wa kazi nione jinsi anavyozunguuusha nguo na kununua mzigo na kuhesabu faida kwa muda wa wiki mbili huku nikitafuta eneo la kuanza kutandaza mzigo.
ITAENDA
ni ni right