Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

Ubobo ana ID tano. Ya mwanzo ilikuw gentapyne sujui🤣 ana nyingine zikeandikw shetan mkuu🤣 hii anajifanya mtakatifu🤣🤣🤣
mods wamemshtukia😀
Hapana Mkuu hii ndio ID yangu ya kitambo zaidi kuliko yoyote since 2019 huko japo zilikuwa merged ndio maana unaona joined 2021 ila nipo tangu 2015 humu

Kuhusu ubobo kilichotokea ni ban takatifu
Shunie mimi ndio yule
 
Ubobo ana ID tano. Ya mwanzo ilikuw gentapyne sujui[emoji1787] ana nyingine zikeandikw shetan mkuu[emoji1787] hii anajifanya mtakatifu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mods wamemshtukia[emoji3]
Hiyo genta si ndio alibadili kuwa ubobo na ya mtakatifu imekuwaje tena ila jf [emoji1787] we ubobo ebu njoo kwanza me nimekuzoea kwa ubobo mpaka nizoee mtakatifu sio leo
 
Hapana Mkuu hii ndio ID yangu ya kitambo zaidi kuliko yoyote since 2019 huko japo zilikuwa merged ndio maana unaona joined 2021 ila nipo tangu 2015 humu

Kuhusu ubobo kilichotokea ni ban takatifu
Shunie mimi ndio yule
Sasa we mbona mpole ubobo alichangamka sana jamaniii kwa nini wameipa ban ubobo si wangeziunganisha tu na zote na kuipa jina moja la ubobo
 
Kwahiyo ni ubobo huyu kweli yaani sijui kwa nini siamini na ubobo mwenyewe simuoni [emoji1787]
Screenshot_20230407-102802_1.jpg


Proof hiyo
 
Back
Top Bottom