loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea.
Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi.
Mkeka ulikuwa uchanike lakini hizi timu bure kabisa.
Mnaosoma huu uzi nataka tu niweke wazi shetani anasingiziwa sana kwenye zinaa, wizi, ubakaji na uuaji. Huko huyu jamaa hayupo kabisa tunamuonea tu bure.
Mwamba yuko kwenye ku bet. Na kajenga makazi yake ya kudumu kwenye betting.
Tumuombe sana Mungu atusaidie kwenye hili janga. Shetani ni mpuuzi sana kwasababu kuna wakati unaacha kabisa kubet lakini Mwamba anakufuata nakukushawishi.
Hela mtu unapoteza ukikaa chini nakupiga mahesabu laiti ungekuwa unasave ungepata akiba nzuri tu.
adriz de mbusii