Shetani kaweka makazi yake ya kudumu kwenye kubeti

Shetani kaweka makazi yake ya kudumu kwenye kubeti

Tatizo wanabeti kwa kufuata mkumbo
Hawatumii uchambuzi sana ndio maana wanapigwa kila siku
Mkumbo na kuweka buku halafu ushinde laki ndio kinachofanya watu waliwe. Mimi jmosi sikubet maana manunuzi ya mahitaji ya familia kwa ajiri ya sikukuu yalinifanya nikose muda wa kuangalia fixtures.

Jana nimeenda na slavia praha, sparta praha, palemo na frosinone nikaweka 500K. Wote wameshinda. Saa tatu na nusu tu nipo kaunta viti virefu tayari imeengia milioni 2+.
 
Nikweli kabisa ukitaka kuamini kuwa shetani yupo kazini wewe bet au cheza forex
 
Asante mkuu kwa mchango wako nitazingatia. Lakini kumbuka hizo timu ulizotaja ukibet tu siku hiyo zina draw. Nina betting hadi leagues za Estonia, China, Japan na Australia. Odd na stake zinakuwa kubwa kwa timu vibonde Lakini zina draw na siku zote zinashinda.

Mfano taifa stars na lietchestain dah staki kukumbuka.
Ofcourse hauwezi kushinda kila siku. Lakini ukibet kimkakati ni vizuri zaidi. Kama unabet normal win angalia form za timu, nafasi zao kwenye ligi, wanapigania nini(mfano ubingwa, kubaki ligi kuu n.k), head to head, pia zingatia zaidi timu ambazo zipo nyumbani.

Kama unapendelea kubet gg. Cheza ligi za ujerumani, uholanzi na saudi arabia huko wanafungana sana
 
Kwahili mimi namtetea shenani mazee...
Tatizo vijana wamekua wavivu, wanaongozwa na tamaa pia hawaja elimika pamoja na kwamba wamesoma.
 

Attachments

  • VID-20260303-WA0025.mp4
    3.2 MB
Ile juzi Madrid alitembea na mikeka mitatu

48,000 away win 2H
15,000 Win 2
25,000 total team 2 -over 1.5
Halafu kuna fiorentina
200,000 Fiorentina over 1.5 alishindwa
 
Nimekuwa shabiki kitambo yaani kwa mimi lolote naweza kuacha ,nilipofikia kila kitu kwangu ni temporary
Ila una roho ngumu mkuu kulingana na comment zako huko nyuma hadi mambo ya kifo unaonaga kawaida tu hadi unashangaaga watu kulia kwenye misiba😅🤣😂
 
Back
Top Bottom