Ungekuwa umeshinda ungesema ni shetani kakushindisha? Hakuna cha shetani. Tamaa yako ndiyo inakufanya unaliwa.Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea.
Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi.
Mkeka ulikuwa uchanike lakini hizi timu bure kabisa.
Mnaosoma huu uzi nataka tu niweke wazi shetani anasingiziwa sana kwenye zinaa, wizi, ubakaji na uuaji. Huko huyu jamaa hayupo kabisa tunamuonea tu bure.
Mwamba yuko kwenye ku bet. Na kajenga makazi yake ya kudumu kwenye betting.
Tumuombe sana Mungu atusaidie kwenye hili janga. Shetani ni mpuuzi sana kwasababu kuna wakati unaacha kabisa kubet lakini Mwamba anakufuata nakukushawishi.
Hela mtu unapoteza ukikaa chini nakupiga mahesabu laiti ungekuwa unasave ungepata akiba nzuri tu.
adriz de mbusii
Nasikia umepewa kazi ya kumnunulia maziwa mtoto wake wa mwisho kila siku 😅Haya maponjoro tunayapa hela zetu bila shurti.
Serikali duniani wanatakiwa kuingilia kati haya mavitu na kuweka sheria kali na miongozo thabiti kulinda wanyonge. Wamebakia tu kuonea wavuta sigara kwa kuongeza kodi na kuzuia matangazo. Badala hizi juhudi wangetumia kupambana na shetani.Nasikia umepewa kazi ya kumnunulia maziwa mtoto wake wa mwisho kila siku 😅
Mkuu ni shetani asee. Unaweza kuamua kuacha kabisa lakini huyu mwamba aliyekuwa na sauti nyororo mbinguni aliyepigwa teke la makalio na kufukuzwa anakufuata na charm offensive nakujikuta unashawishika.Kuna vijana wa kiume wanaliwa vibaya sana na hizi betting ila hawakomi wanajipeleka tena na tena!!!
Kabla ya kubet muwe mnafanya uchambuzi hata kidogo tu. Liverpool kwa man city game ngumu kila option ya moto. Huyo arsenal wachezaji kibao majeruhi. Vilevile hizo timu zote zina wachezaji wengi wametoka international break lazima watakua na uchovu bila kusahau wote wana game za uefa kesho na kesho kutwa kwaiyo akili wamezielekeza zaidi uko.Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea.
Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi.
Mkeka ulikuwa uchanike lakini hizi timu bure kabisa.
Mnaosoma huu uzi nataka tu niweke wazi shetani anasingiziwa sana kwenye zinaa, wizi, ubakaji na uuaji. Huko huyu jamaa hayupo kabisa tunamuonea tu bure.
Mwamba yuko kwenye ku bet. Na kajenga makazi yake ya kudumu kwenye betting.
Tumuombe sana Mungu atusaidie kwenye hili janga. Shetani ni mpuuzi sana kwasababu kuna wakati unaacha kabisa kubet lakini Mwamba anakufuata nakukushawishi.
Hela mtu unapoteza ukikaa chini nakupiga mahesabu laiti ungekuwa unasave ungepata akiba nzuri tu.
adriz de mbusii
Hahahahahaaaaa mkuu wewe hukuwa shabiki wa mpira.Shetani ni mtu mwenyewe hayo mengine mnasingizia vitu ambavyo havipo 🤣🤣..Nilipojua mambo mengi ya dunia ni uongo ,nikaanza kupuuza.
Mwaka fulani nilikuwa shabiki kindakindaki wa mpira ,nikasema msimu huu nisiangalie mechi hata moja ..Basi ,nikaaza kudodge kwa tabu ila mpaka leo sio shabiki wa mpira kama mwaka wa 7 sasa ...yaani sina yale mapenzi ya mwanzo ya kufuatilia mpira hata timu ikifungwa siumii.
Chaguo ni lako ,unaweza kuacha hata kesho kama hauelewi.
Tatizo wanabeti kwa kufuata mkumboKabla ya kubet muwe mnafanya uchambuzi hata kidogo tu. Liverpool kwa man city game ngumu kila option ya moto. Huyo arsenal wachezaji kibao majeruhi. Vilevile hizo timu zote zina wachezaji wengi wametoka international break lazima watakua na uchovu bila kusahau wote wana game za uefa kesho na kesho kutwa kwaiyo akili wamezielekeza zaidi uko.
Hii wikiend hakukua na haja ya kubetia wakubwa. Fuatikieni ligi nyingi. Kuna slavia praha na sparta praha kule czech kila siku wanashinda. Kuna venezia, frosinone na monza kule utary series b kila siku wanashinda.
Asante mkuu kwa mchango wako nitazingatia. Lakini kumbuka hizo timu ulizotaja ukibet tu siku hiyo zina draw. Nina betting hadi leagues za Estonia, China, Japan na Australia. Odd na stake zinakuwa kubwa kwa timu vibonde Lakini zina draw na siku zote zinashinda.Kabla ya kubet muwe mnafanya uchambuzi hata kidogo tu. Liverpool kwa man city game ngumu kila option ya moto. Huyo arsenal wachezaji kibao majeruhi. Vilevile hizo timu zote zina wachezaji wengi wametoka international break lazima watakua na uchovu bila kusahau wote wana game za uefa kesho na kesho kutwa kwaiyo akili wamezielekeza zaidi uko.