Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Mkumbo na kuweka buku halafu ushinde laki ndio kinachofanya watu waliwe. Mimi jmosi sikubet maana manunuzi ya mahitaji ya familia kwa ajiri ya sikukuu yalinifanya nikose muda wa kuangalia fixtures.Tatizo wanabeti kwa kufuata mkumbo
Hawatumii uchambuzi sana ndio maana wanapigwa kila siku
Nimekuwa shabiki kitambo yaani kwa mimi lolote naweza kuacha ,nilipofikia kila kitu kwangu ni temporaryHahahahahaaaaa mkuu wewe hukuwa shabiki wa mpira.
Ofcourse hauwezi kushinda kila siku. Lakini ukibet kimkakati ni vizuri zaidi. Kama unabet normal win angalia form za timu, nafasi zao kwenye ligi, wanapigania nini(mfano ubingwa, kubaki ligi kuu n.k), head to head, pia zingatia zaidi timu ambazo zipo nyumbani.Asante mkuu kwa mchango wako nitazingatia. Lakini kumbuka hizo timu ulizotaja ukibet tu siku hiyo zina draw. Nina betting hadi leagues za Estonia, China, Japan na Australia. Odd na stake zinakuwa kubwa kwa timu vibonde Lakini zina draw na siku zote zinashinda.
Mfano taifa stars na lietchestain dah staki kukumbuka.
Ila una roho ngumu mkuu kulingana na comment zako huko nyuma hadi mambo ya kifo unaonaga kawaida tu hadi unashangaaga watu kulia kwenye misiba😅🤣😂Nimekuwa shabiki kitambo yaani kwa mimi lolote naweza kuacha ,nilipofikia kila kitu kwangu ni temporary
Nasikia kuna moja inaitwa kindegeHahahahahaaaaa mkuu wewe hukuwa shabiki wa mpira.
Subhana allahPoor Brain
njoo huku