Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!!
Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi.
Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa.
Is lucifer, satan? Au shetani na lucifer walikuwa tofautu, ndio shetani akamdanganya lucifer ili washirikiane katika ushetani?
Baada ya kuwa Mungu amemshinda Lucifer, je Mungu alimuonea huruma kiumbe wake ili ampatie nafasi nyingine au alimuonea huruma lakini lucifer hakuwa tayari kuachana na ushetani.
Why did satan had reside on earth ambapo ndipo viumbe vipya vya Mungu (wanadamu) ndipo walipowekwa.?
Anyway, nijajiuliza on and on labda hakuna majibu, ila nachoamini vitabu vyetu vitakatifu havina majibu yote.