Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

Kuna jamaa mmoja alimuhukumu mwenzake mbele ya watu kua jamaa walimkabidhi viwanda viwili akaviua na kusababisha watu kukosa ajira na kupelekea watu kufa sababu ya kukosa ajira bahada ya viwanda kufa.
Hakasau ya kua yeye ana roho ngumu kama ya filauni wa misiri kila ushauri wa kitaalamu aliopewa aliukataa na kupendekeza mambo anayoyajua yeye huku wapambe wake wakisema kua ni mbeba maono, nadhani wote tunashudia ni nini kinachotokea kutokana na ukaidi aliounyesha huyu jamaa watu wanapukutika taifa linahangamia

watu wanasema sauti ya wengi ni sauti ya mungu aiwezekani watu wote wachukue hatua ya kupambana na janga kama hili halafu wewe pekee ujifanye unajua kuliko wengine matokeo yake ndio haya tuyaona
Neno la mungu linatuonya kwa kusema watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa, kumbe vitu vingine atuitataji kutumia hisia wala ujuaji mwenyezi mungu anaweka wazi tutafute maarifa nasi atutaangamizwa
 
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
Okay
 
Pumbavu wewe usimuhusishe Mungu katika upumbavu wenu wa akili,Mungu alisema jisaidie na mim nitakusaidia ,endelezeni ushirikina wenu wa kupiga nyungu pumbafu majinuni
Mungu gani alisema ujisaidie na yeye atakusaidia? Naomba uweke hiyo aya hapa kama kweli ipo.
 
Ngoja afe mama yako uje uandike tena upupu wako ,watu wamepoteza wapendwa wao wew unaleta upupu hapa.
Humu ndani kuna ng'ombe wengi sana sijui huyo jamaa kaandika mikojo mnoo aisee
 
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
Ongeza makaburi mtazika sana pamoja na maombi yenu. Nyie mnamjua Mungu kuliko waliowaletea hizo dini na kuwafundisha kuhusu Mungu?
 
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
Siyo kila kulitaja jina la Mungu ni kujinyenyekeza,wengine hulitumia kwa faida binafsi,hii ni dunia ambayo jina la Mungu linatumika sana hata ktk kurubuni watu,
Yapasa tuwe timamu na tujue maana ya maandiko na pia tujue ktk kila jambo pana makusudi fulani ya Mungu,
 
Kwa hiyo kutaja jina la Mungu ndo kunyenyekea,matapeli wangapi wanamtaja Mungu inamaana wanajinyenyekeza,kufahamu kusoma mistari ya Biblia na kuikarili siyo kujua maana yake,Roho mtakatifu atufundishe kujua maana siyo kujua mistari,
Shetani ushindwe kabisa, maana Maandiko yanasema tukijinyenyekesha kwa Mungu atasikia maombi yetu na kuiponya nchi yetu, hivyo hakuna cha eti madina etc
 
N
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
NAKUUNGA MKONO MKUU KORONA HAKUNA KAMA UNAONA IPO JIKINGE NA BARAKOA LAKO KWANI UNAKATAZWA?!
 
Ngoja afe mama yako uje uandike tena upupu wako ,watu wamepoteza wapendwa wao wew unaleta upupu hapa.
kwani akifa mama yake ukweli wa bandiko hilo unabadirikaje!!!

hizi ndio akili za kumpigia makelele magufuli atoe tamko, as if corona inaogopa tamko.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Duh kwahio huyu Mungu anakisirani yaani ukisahau tu kumyenyekea anaamua kuwaua (alafu kama kifo ni adhabu kwanini wema wanakufa ?)

Kwahio usipopiga magoti anakuua (kitu ambacho unasema ni adhabu), na hata ukipiga magoti vilevile unakufa... (sasa hapo unaokoka vipi)....

Tufuati kanuni na facts hii mbona ni wazi..., usipofuata miongozo ya kiafya kama inavyokueleza hakika utakufa (tena kwa uzembe) ukifuata misingi na kujihadhari eventually utakufa ila either kwa uzee au kwa uzembe wa mwingine au ajali
Ndugu yangu kwanza MWENYEZIMUNGU anaitambua taaluma ya udaktari kuliko hata wewe na mifano iko mingi tu kwenye maandiko

Pili kifo sio adhabu kifo ni ibada kama ilivo uhai (kuzaliwa) na kifo ni daraja kuelekea maisha ya milele kwa maana ya kwamba lazima kufa kabla ya maisha ya milele

Mwisho,hao wanaokwenda kinyume na ushauri na matakwa ya utabibu/wataalamu wa afya wana kusudi lao either kwa manufaa yao binafsi au kwa manufaa ya watu fulani lakini sio eti kwa sababu wanamtumainia MUNGU
 
Shetani ushindwe kabisa, maana Maandiko yanasema tukijinyenyekesha kwa Mungu atasikia maombi yetu na kuiponya nchi yetu, hivyo hakuna cha eti madina etc
Una maana hao wa miji mitakatifu hawa mnyenyekei Mungu Kama watu wa Chato?
Very funny
 
GTs,

Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu.

Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu.

Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu.

Kila anayebeza pale ambapo rais wetu anaonesha unyenyekevu kwa Mungu, basi huyo ni mfuasi wa shetani na anatumika na shetani na inapaswa kumuombea.

Shetani anakiri (pamoja na hao wanao shangilia vifo vya sasa) kuwa ni kweli Mungu alituepusha na korona ya kwanza na Maombi yalifanya kazi!

Korona ya pili imekuja kutuonesha kuwa Mungu hakika huponya taifa iwapo mfalme atajinyenyekesha mbele zake.

Hata sasa Mungu anaenda kuliepusha taifa letu na kutuponya kabisa huu ugonjwa na kamwe hautokaa kusumbua tena.

Tuungane kwa maombi ya kumuombea rais wetu pamoja na viongozi na kuliombea taifa letu liponywe kabisa maana ushindi ni wetu.
Hata haueleweki!
 
Back
Top Bottom