Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

Unakuta mtu anapiga kelele ooh korona ipo tz sema serikali ipo kimya wakati apo apo uyo mtu hana sanitizer,hazingatii kunawa mikono barakoa pia hana lakini maneno sasa utafikir magufuli ndo kaileta io korona.
 
Rais kusimama na kuongea kua tatizo fulani katika nchi yetu Mungu atatatua, hadi kuanza kuwasomea na wananchi Vifungu vya biblia, huo ni ufala. Hiyo kazi sio yake awaachie wahusika wa mambo ya dini.

Kwanza Atheist anawakela na kuwatia kichefu chefu.

Kama ana Mungu kweli basi atuongoze nchi nzima tumwabudu Mungu mmoja huyo anaemwamini yeye kua anauweza wa kila jambo.
 
Back
Top Bottom