Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejiajiri au umeajiriwa?Nimekuwa nikiuliza watu wengi maswali kuhusu kujiajiri na kuajiriwa....most of the answers imekuwa kujiajiri ndio "mchongo",sasa mbona sioni jitihada za watu kutaka kujiajiri.....halafu inakuwaje watu wanaongea sana kuliko vitendo!?
Wanaishia kuwasifia waliojiajir wakati wao wanakazana kuomba kazi kwenye makampuni na serikalini....
Hapa nataka kupata mawazo yenu hivi ni nini kinaleta shida ni uwoga wa maisha au ni theories tu zimewajenga kama elimu yetu ilivyo....imewajaza uoga badala ya kuwapa uhuru wa kujitegemea.....
by emma mjasiriamali
Be patient to start small while thinking big.Hayo mawazo yanadepend na unazungukwa na nini...tatizo tunawaza mambo makubwa tu,hatuyapi nafasi mambo madogo ambayo kimsingi ndio chanzo cha hayo makubwa
by emma mjasiriamali
Wengi hawakopesheki! Utakuta mtu hana mtaji,wakati huohuo ana mawazo ya kupiga! Mtu wa hivyo,lazima azunguke na bahasha kuomba kazi bila mafanikio! mtaji wako mkubwa ni "UAMINIFU"Unaanza na Nini wakati huna kitu???[emoji15]
Ni kweli kabisa. Naked truthWengi hawakopesheki! Utakuta mtu hana mtaji,wakati huohuo ana mawazo ya kupiga! Mtu wa hivyo,lazima azunguke na bahasha kuomba kazi bila mafanikio! mtaji wako mkubwa ni "UAMINIFU"
Kila mtu ana mipango minene., Hata humu ndani Jf kuna watu wana mipango hata ya kuwa na mashirika yao ya ndege, wengine wana ndoto za kwenda Mars.
Kinachotutofautisha ni strategy za kufika huko while we have nating in our pockets.
Usitujaze upepo mkuu kwn kujiajiri si biashara!Maamuzi + Wazo la biashara.
Mtaji ni watu wanaokuzunguka, hao ndio walio na pesa zako nshu ni kwamba unazipata vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitujaze upepo mkuu kwn kujiajiri si biashara!Maamuzi + Wazo la biashara.
Mtaji ni watu wanaokuzunguka, hao ndio walio na pesa zako nshu ni kwamba unazipata vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitujaze upepo mkuu kwn kujiajiri si biashara!Maamuzi + Wazo la biashara.
Mtaji ni watu wanaokuzunguka, hao ndio walio na pesa zako nshu ni kwamba unazipata vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha zipo tu mkuu.Usitujaze upepo mkuu kwn kujiajiri si biashara!
Sasa kama una wazo ndio na uthubutu unao let say unataka kujiajir kwa kutuo huduma flani vitendea kazi unavitoa wap
Huko kujiajiri bila capial(fedha) ni kijidanganya
Jaribu kufikiri ujasiriamali wowote unaoweza uanzisha bila hata kua na cent mkononi
weka wazi hapa wazo lako la biashara lisilo hitaji fedha hapo tunaweza kuelewa kwamba mtaji ni watu wanaokuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotea sana hapa jukwaani. It is a great honor to have you back!Ni muhimu wadau tujue kwamba hatuwezi wote kujiajiri hata iweje, kundi kubwa sana lazima liangukie kuajiriwa. Chances za kujiajiri na kutusua ni ndogo sana kwa sababu lukuki zilizo wazi na zisizo wekwa wazi. Ila kwa wenye kukomaa na kusimamia maamuzi yao nafasi ipo kubwa kwa dunia ya wenzetu.
Wengi tunaowaona wamesimama kibiashara vizuri, asilimia kubwa taarifa zao za nyuma ya pazia hatuzijui.Hapa hata wewe unaweza kufanya utafiti na kupata ukweli, jiulize kwa nini biashara nyingi hufa mara baada ya mwenyewe kufariki au akiugua kwa muda mrefu?.
Hata hawa matajiri tunaowaona wengi ni kizazi cha pili au cha tatu au wamebebwa kwa namna moja au nyingine mpaka wakafika walipo. Wale waliopambana wenyewe bila nguvu za ziada ni wachache sana. Hapa nazungumzia wajasiriamali wenye brand zao sio watoa huduma, ambao ndio wengi.
Mkuu nipo sana, huwa nasoma zaidi maoni na michango ya wadau wengine. Asante kwa heshima uliyonipa.Ulipotea sana hapa jukwaani. It is a great honor to have you back!
Mie nimejiajir mkuu,lakini ukiniuliza nilipataje mtaji wangu sina jibu sahihi...ila uhakika haukuja kwa kujiajiri,niliangalia fursa zinazonizunguka na mawazo...kwahiyo kujiongeza kwenye tija nilizoziona,maana kimsingi mwanzo kabisa nilianza kwa hela ndogo sana kama laki moja hivi...uvumilivu na na kujinyima....Wewe umejiajiri au umeajiriwa?
Kama umejiajiri uliwezaje kujiajiri?
nini kilikuwa chanzo cha mtaji wako, uliiba, ulirithi, uliajiriwa kwanza, ukipakua vyoo vilivyojaa? Ulifanya nini?
Tuanzie kwako ndo turudi kwenye maombi yako..m
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa sana,ndio njia ya mafanikioBe patient to start small while thinking big.
by [HASHTAG]#vusi[/HASHTAG] thembekwayo.
HahahahahahaWengi hawakopesheki! Utakuta mtu hana mtaji,wakati huohuo ana mawazo ya kupiga! Mtu wa hivyo,lazima azunguke na bahasha kuomba kazi bila mafanikio! mtaji wako mkubwa ni "UAMINIFU"