GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Uko sahihi.Very encouraging aiseee,nimesoma mara mbilimbili mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Very encouraging aiseee,nimesoma mara mbilimbili mkuu.
Biblia ilimsaidia kupata kazi.Biblia ni kitabu cha kijinga jinga sana.
Hakuna kitu cha maana utakipata humo zaidi ya kukucode ubongo wako usifikiri lamaana.
Na zaidi ya yote, unakuwa umejitumbukiza kwenye bahari ya ujinga tu.
Hutokuja kuuelewa ulimwengu kamwe.
Enhe, embu nieleze, kwahyo wewe umesoma biblia yote na ukaielewa kabsa!?
Hongera sana.Nimesoma mwanzo hadi ufunuo.. Yani agano la Kale hadi agano jipya mara moja
Nikasoma agano jipya Mathayo hadi Ufunuo Kwa kurudia mara mbili.
Ni bible race.. Hakika nimejikuta na uelewa mkubwa wa kujitambua mimi binafsi, mazingira yanayonizunguka na ulimwengu Kwa ujumla.
Unaelewa nini maana ya kipozauongo ( placebo) !?Biblia ilimsaidia kupata kazi.
Biblia ilimsaidia kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu.
Biblia imekuwa ikimsaidia kuliko kitabu kingine chochote.
Kwa shuhuda hizo tu, ni dhahiri kuwa hicho si kitabu cha kawaida.