Shida iliyopata Israel kuokoa mateka wanne hawatajaribu tena. Ndio imewatia nguvu Hamas na raia wa kawaida kupambana zaidi

Walijificha kwenye magari ya msaada,walipofika,raia wakajaa kupokea msaada,IDF wakatokea katikati ya gari na kuanza kurusha risasi,raia wengine walikatika shingo kwa risasi
Uongo unakusaidia nini ewe iblis muongo.. fanyeni toba uongo wa maandishi dhambi zake kila atakayesoma anapokea uongo wako so ni mwendelezo miaka na miaka..

kasomeni upya mkasa mzima ndio muandike maana propaganda za Waislam waongo mnazipokea kama zinavyowafikia na mnazisambaza asi if mlkuwepo kwenye tukio... Kwa muslims uongo ni ibada za Allah kawaruhusu sababu Allah ndie best of Deceivers... kama wewe sio Muslim achana na uongo.. Story nzima mashuhuda wanasema IDF walienda kama raia wanaoenda kuhamia nyumba ya kupanga na sio gari la misaada
 
"Aid trucks used to enter Gaza's Nuseirat — Red Crescent on Israeli deceit" https://www.trtworld.com/middle-eas...eirat-red-crescent-on-israeli-deceit-18171877
 
Acha upumbavu watu wanateketea na kuteseka pale Gaza halafu wewe unaleta ngonjera?! Unafikiri mchezo unaofanywa na viongozi wa hamas na Jeshi la Israel una manufaa kwa wapalestina? Wanashikilia hao mateka ili wapate nini na wakati wapalestina elfu 40 wameteketeza, zaidi ya elfu 80 wameumia, zaidi ya elfu 10 wamedakwa na jeshi la Israel, huku Hamas inashikilia mateka 120 , hiyo ni akili ni matope? Eti wako sehemu salama mara wanakula vizuri, sasa hamas inawashikilia ili iweje, iliwateka ili iweje? Waarabu na wapalestina shitukeni , amkeni hamas na Israel lao ni moja, wanawadanganya kwa kigezo cha dini ya uislamu ili kuwaamini kumbe wanateketeza wapalestina, Mahamoud Abas wa West bank ameshapaona, ndo maana amemwambia Ayatollah kuwa akae kumya kwa kuwasifia hamas kuwa walifanya vizuri kuvamia Israel.
 
"Aid trucks used to enter Gaza's Nuseirat — Red Crescent on Israeli deceit" https://www.trtworld.com/middle-eas...eirat-red-crescent-on-israeli-deceit-18171877
Habari hiyo hiyo inasema - sked about the Red Crescent's statement, the Israeli army referred AFP to a June 8 tweet in which spokesman Avichay Adraee dismissed the allegations that forces entered Nuseirat in aid trucks as "lies".

News za kweli walishuhudia wanasema walijua ni wapangaji wamekuja kuhamia na zile gari zao mikweche.. hata walipokuwa washamaliza uokozi gari liligoma kuingia gear hadi kundi la mafundi likaja wakacheza na gear likakubali wakasepa safe place hadi kwenye helicopter game ikawa over


Soma na hii

Eyewitnesses told Asharq that other special forces also snuck into the Nuseirat camp inside an aid truck. The IDF has denied using humanitarian transports for the operation.

In a separate report, a resident of the Nuseirat camp told the Saudi news network Al-Arabiya that he saw men storming into his neighbor’s house wearing Hamas military uniforms, helmets and badges, and thought initially that they were Hamas operatives, but later realized they were members of an IDF special unit.
 
Operation imefanikiwa sana ila upande wa maadui wamepata hasara imesababisha wafe wapalestina wengi kama kuku
 
News za kweli!?..we mpuuzi kweli,za kweli kwa mujibu wa nani!?
 
Watajua kumbe kuwahifadhi hamasi ni kifo chao hao wananchi so kazi kwao wajumuishwe kama hamas au vipi
 
Hamas na wananchi wenye hasira walikuwa wapi wakati gari mkweche likitengenezwa tena baada ya eneo lote kugeuka majivu
 
Na askari wa Israel nao ni warembo na wengine mashoga.Si wangekwenda bila kujificha ficha.Wao si ni makomandoo wa kuokoa mateka.Yanini kujificha na kuita ndege kuua watu ovyo.
 
Ila unapambana sana Maalim.Hongera kwa kutetea wapalestina.Vp wewe wasudan hawakuhusu?
 
Akili za haya majamaa ziko matakoni mwao
 
unaibisha watu weusi
 
wapalestina washakata tamaa wamebakia kulia tu ila nyny mashetan msiowapenda wapalestina ndo mnashangilia vifo vya wapalestina mkizani mnawatia doa Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…