imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Weka link acha porojo.Nenda kwenye vyombo unavyoviamini,nimesoma huko,CNN,sky, NYT sikumbuki ni kipi hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka link acha porojo.Nenda kwenye vyombo unavyoviamini,nimesoma huko,CNN,sky, NYT sikumbuki ni kipi hasa
Mi siyo zuhra yunus babuWeka link acha porojo.
Acha ubishi wa kijinga dogo.Mi siyo zuhra yunus babu
Uongo unakusaidia nini ewe iblis muongo.. fanyeni toba uongo wa maandishi dhambi zake kila atakayesoma anapokea uongo wako so ni mwendelezo miaka na miaka..Walijificha kwenye magari ya msaada,walipofika,raia wakajaa kupokea msaada,IDF wakatokea katikati ya gari na kuanza kurusha risasi,raia wengine walikatika shingo kwa risasi
We unataka nihahe kusaka taarifa nikuweke humu,umeniajiri!?Acha ubishi wa kijinga dogo.
"Aid trucks used to enter Gaza's Nuseirat — Red Crescent on Israeli deceit" https://www.trtworld.com/middle-eas...eirat-red-crescent-on-israeli-deceit-18171877Uongo uaksaidia nini ewe iblis muongo.. fanyeni toba uongo wa maandishi dhambi zake kla akayesoma anaokea uongo wako so ni mwendelezo miaka na miaka.. kasomeni upya mkasa mzima ndio muandike maana propaganda za Waialam waongo mnazipokea kama zinavyowafikia na mnazisambaza asi if mlkuwepo kwenye tukio... Kwa muslims uongo ni ibada za Allah kawaruhusu sababu Allah ndie best of Deceivers... kama wewe sio Muslim achana na uongo.. Story nzima mashuhuda wanasema IDF walienda kama raia wanaoenda kuhamia nyumba ya kupanga na sio gari la misaada
Acha upumbavu watu wanateketea na kuteseka pale Gaza halafu wewe unaleta ngonjera?! Unafikiri mchezo unaofanywa na viongozi wa hamas na Jeshi la Israel una manufaa kwa wapalestina? Wanashikilia hao mateka ili wapate nini na wakati wapalestina elfu 40 wameteketeza, zaidi ya elfu 80 wameumia, zaidi ya elfu 10 wamedakwa na jeshi la Israel, huku Hamas inashikilia mateka 120 , hiyo ni akili ni matope? Eti wako sehemu salama mara wanakula vizuri, sasa hamas inawashikilia ili iweje, iliwateka ili iweje? Waarabu na wapalestina shitukeni , amkeni hamas na Israel lao ni moja, wanawadanganya kwa kigezo cha dini ya uislamu ili kuwaamini kumbe wanateketeza wapalestina, Mahamoud Abas wa West bank ameshapaona, ndo maana amemwambia Ayatollah kuwa akae kumya kwa kuwasifia hamas kuwa walifanya vizuri kuvamia Israel.Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona halikustahiki.
Mateka hao walikuwa wakiishi maisha ya kawaida na hawakuwa katika hatari yoyote ile ndio maana wamepatikana wakiwa katika afya nzuri.
Zaidi ya tukio hilo ni kuwa kulishawahi kupangwa operesheni kama hizo kadhaa huko nyuma na baadae zikafutwa kutokana na ugomo uliokuwa ukijitokeza katika hatua za mwisho za utekelezwaji.Hiyo ni kwa mujibu wa makamanda wa vita wa Israel.
Uokoaji huu ulifanywa kwa ushirikiano wa maafisa wa kimarekani na kwa kutumia gati la kutolea misaada.Askari wa Israel wajivika mavazi ya kipalestina na Hamas na yawezekana katika mavazi ya kike ili kufika eneo la tukio.
Mara baada ya kuonekana dalili za uokoaji huo wapiganaji wa Hamas badala ya kukimbia mbio walitoka na kila aina ya silaha walizonazo na kupambana.Ndege za jeshi zilitumika kupiga maeneo yote karibu na nyumba walizokuwa wakiishi mateka hao na hivyo kusababisha vifo vya wasiohusika.
Katika purukushani hiyo ambayo walionusurika wamesema ilikuwa ni operesheni ya hatari na iliyokosa umakini inaaminika pamoja na kuokolewa mateka basi na askari wa Israel hawakutoka salama wote na ushahidi ni gari yao waliyokuja nayo kutoweza kutoka na kuungua moto karibu na eneo la tukio.
israel haijataja maafa upande wao lakini imekiri kufariki kwa mateka mwengine aliyejeruhiwa vibaya katika opreresheni hiyo.Uokoaji huo ulihitimishwa na kuonekana kwa gari la kupeleka misaada ya chakula likielekea eneo la gati ba muda mfupi baadae helkopta kuruka kutoka eneo hilo kuelekea Israel.
Kwa kujua kwamba jeshi la Israel limelazimika kujivika mavazi ya kipalestina na mavazi ya kike na kujifanya Hamas sambamba na kutumia magari ya misaada,kwa sasa operesheni kama hizo zitakuwa ni ngumu zaidi kutekelezeka.
Ukipenda ongeza maarifa hapo chini.
Inside Israel’s deadly operation to rescue four hostages
Habari hiyo hiyo inasema - sked about the Red Crescent's statement, the Israeli army referred AFP to a June 8 tweet in which spokesman Avichay Adraee dismissed the allegations that forces entered Nuseirat in aid trucks as "lies"."Aid trucks used to enter Gaza's Nuseirat — Red Crescent on Israeli deceit" https://www.trtworld.com/middle-eas...eirat-red-crescent-on-israeli-deceit-18171877
Operation imefanikiwa sana ila upande wa maadui wamepata hasara imesababisha wafe wapalestina wengi kama kukuTaarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona halikustahiki.
Mateka hao walikuwa wakiishi maisha ya kawaida na hawakuwa katika hatari yoyote ile ndio maana wamepatikana wakiwa katika afya nzuri.
Zaidi ya tukio hilo ni kuwa kulishawahi kupangwa operesheni kama hizo kadhaa huko nyuma na baadae zikafutwa kutokana na ugomo uliokuwa ukijitokeza katika hatua za mwisho za utekelezwaji.Hiyo ni kwa mujibu wa makamanda wa vita wa Israel.
Uokoaji huu ulifanywa kwa ushirikiano wa maafisa wa kimarekani na kwa kutumia gati la kutolea misaada.Askari wa Israel wajivika mavazi ya kipalestina na Hamas na yawezekana katika mavazi ya kike ili kufika eneo la tukio.
Mara baada ya kuonekana dalili za uokoaji huo wapiganaji wa Hamas badala ya kukimbia mbio walitoka na kila aina ya silaha walizonazo na kupambana.Ndege za jeshi zilitumika kupiga maeneo yote karibu na nyumba walizokuwa wakiishi mateka hao na hivyo kusababisha vifo vya wasiohusika.
Katika purukushani hiyo ambayo walionusurika wamesema ilikuwa ni operesheni ya hatari na iliyokosa umakini inaaminika pamoja na kuokolewa mateka basi na askari wa Israel hawakutoka salama wote na ushahidi ni gari yao waliyokuja nayo kutoweza kutoka na kuungua moto karibu na eneo la tukio.
israel haijataja maafa upande wao lakini imekiri kufariki kwa mateka mwengine aliyejeruhiwa vibaya katika opreresheni hiyo.Uokoaji huo ulihitimishwa na kuonekana kwa gari la kupeleka misaada ya chakula likielekea eneo la gati ba muda mfupi baadae helkopta kuruka kutoka eneo hilo kuelekea Israel.
Kwa kujua kwamba jeshi la Israel limelazimika kujivika mavazi ya kipalestina na mavazi ya kike na kujifanya Hamas sambamba na kutumia magari ya misaada,kwa sasa operesheni kama hizo zitakuwa ni ngumu zaidi kutekelezeka.
Ukipenda ongeza maarifa hapo chini.
Inside Israel’s deadly operation to rescue four hostages
News za kweli!?..we mpuuzi kweli,za kweli kwa mujibu wa nani!?Habari hiyo hiyo inasema - sked about the Red Crescent's statement, the Israeli army referred AFP to a June 8 tweet in which spokesman Avichay Adraee dismissed the allegations that forces entered Nuseirat in aid trucks as "lies".
News za kweli walishuhudia wanasema walijua ni wapangaji wamekuja kuhamia na zile gari zao mikweche.. hata walipokuwa washamaliza uokozi gari liligoma kuingia gear hadi kundi la mafundi likaja wakacheza na gear likakubali wakasepa safe place hadi kwenye helicopter game ikawa over
Soma na hii
Eyewitnesses told Asharq that other special forces also snuck into the Nuseirat camp inside an aid truck. The IDF has denied using humanitarian transports for the operation.
In a separate report, a resident of the Nuseirat camp told the Saudi news network Al-Arabiya that he saw men storming into his neighbor’s house wearing Hamas military uniforms, helmets and badges, and thought initially that they were Hamas operatives, but later realized they were members of an IDF special unit.
Watajua kumbe kuwahifadhi hamasi ni kifo chao hao wananchi so kazi kwao wajumuishwe kama hamas au vipiGaza kwa sasa kama Israel inavyochukulia watu wote ni Hamas na wao watu hawaoni tena sababu ya kutengana na Hamas.Mvua ya mabomu ikija inadondoshwa popote pale.
Mbali na hivyo nyumba asiliamia 85 zimeshabomolewa hivyo awe ni mwandishi wa Aljazeera au raia mwengine yeyote hana tena nafasi ya kuchagua nyumba ya kuishi.Huwa wanajilaza popote tu ilimradi wapate usingizi bila kuhoji wengine wanaolala humo ni nani.
Wewe umeshahamishwa mwahala chungunzima na watu wako wote pengine wameshakufa huwezi tena kuchagua nyumba ya kuishi na wala huna haja ya kuuliza mwenyeji ni nani na nani yuko karibu yangu.Na hata ukijua huna sehemu ya kukimbilia.Umechoka!
Hamas na wananchi wenye hasira walikuwa wapi wakati gari mkweche likitengenezwa tena baada ya eneo lote kugeuka majivuHabari hiyo hiyo inasema - sked about the Red Crescent's statement, the Israeli army referred AFP to a June 8 tweet in which spokesman Avichay Adraee dismissed the allegations that forces entered Nuseirat in aid trucks as "lies".
News za kweli walishuhudia wanasema walijua ni wapangaji wamekuja kuhamia na zile gari zao mikweche.. hata walipokuwa washamaliza uokozi gari liligoma kuingia gear hadi kundi la mafundi likaja wakacheza na gear likakubali wakasepa safe place hadi kwenye helicopter game ikawa over
Soma na hii
Eyewitnesses told Asharq that other special forces also snuck into the Nuseirat camp inside an aid truck. The IDF has denied using humanitarian transports for the operation.
In a separate report, a resident of the Nuseirat camp told the Saudi news network Al-Arabiya that he saw men storming into his neighbor’s house wearing Hamas military uniforms, helmets and badges, and thought initially that they were Hamas operatives, but later realized they were members of an IDF special unit.
Na askari wa Israel nao ni warembo na wengine mashoga.Si wangekwenda bila kujificha ficha.Wao si ni makomandoo wa kuokoa mateka.Yanini kujificha na kuita ndege kuua watu ovyo.Hamas ni warembo tu. Nilitegemea kipindi Israel imetengaza vita. Wangekaa pale mpakani kuwazuia jeshi la Israel kutoingia Gaza au Rafah.
*Nchi ishakuwa magofu na raia wanakufa kila siku halafu unasema Hamas wanapigana. Kwa lipi? Hamas wanapigania uhai wao yaani wasife na hiyo ndiyo sifa ya magaidi.
Ila unapambana sana Maalim.Hongera kwa kutetea wapalestina.Vp wewe wasudan hawakuhusu?Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto na hata kama kulikuwa na Hamas kadhaa tukio hilo limelaaniwa na mataifa kadhaa na kuliona halikustahiki.
Mateka hao walikuwa wakiishi maisha ya kawaida na hawakuwa katika hatari yoyote ile ndio maana wamepatikana wakiwa katika afya nzuri.
Zaidi ya tukio hilo ni kuwa kulishawahi kupangwa operesheni kama hizo kadhaa huko nyuma na baadae zikafutwa kutokana na ugomo uliokuwa ukijitokeza katika hatua za mwisho za utekelezwaji.Hiyo ni kwa mujibu wa makamanda wa vita wa Israel.
Uokoaji huu ulifanywa kwa ushirikiano wa maafisa wa kimarekani na kwa kutumia gati la kutolea misaada.Askari wa Israel wajivika mavazi ya kipalestina na Hamas na yawezekana katika mavazi ya kike ili kufika eneo la tukio.
Mara baada ya kuonekana dalili za uokoaji huo wapiganaji wa Hamas badala ya kukimbia mbio walitoka na kila aina ya silaha walizonazo na kupambana.Ndege za jeshi zilitumika kupiga maeneo yote karibu na nyumba walizokuwa wakiishi mateka hao na hivyo kusababisha vifo vya wasiohusika.
Katika purukushani hiyo ambayo walionusurika wamesema ilikuwa ni operesheni ya hatari na iliyokosa umakini inaaminika pamoja na kuokolewa mateka basi na askari wa Israel hawakutoka salama wote na ushahidi ni gari yao waliyokuja nayo kutoweza kutoka na kuungua moto karibu na eneo la tukio.
israel haijataja maafa upande wao lakini imekiri kufariki kwa mateka mwengine aliyejeruhiwa vibaya katika opreresheni hiyo.Uokoaji huo ulihitimishwa na kuonekana kwa gari la kupeleka misaada ya chakula likielekea eneo la gati ba muda mfupi baadae helkopta kuruka kutoka eneo hilo kuelekea Israel.
Kwa kujua kwamba jeshi la Israel limelazimika kujivika mavazi ya kipalestina na mavazi ya kike na kujifanya Hamas sambamba na kutumia magari ya misaada,kwa sasa operesheni kama hizo zitakuwa ni ngumu zaidi kutekelezeka.
Ukipenda ongeza maarifa hapo chini.
Inside Israel’s deadly operation to rescue four hostages
Akili za haya majamaa ziko matakoni mwaoAcha upumbavu watu wanateketea na kuteseka pale Gaza halafu wewe unaleta ngonjera?! Unafikiri mchezo unaofanywa na viongozi wa hamas na Jeshi la Israel una manufaa kwa wapalestina? Wanashikilia hao mateka ili wapate nini na wakati wapalestina elfu 40 wameteketeza, zaidi ya elfu 80 wameumia, zaidi ya elfu 10 wamedakwa na jeshi la Israel, huku Hamas inashikilia mateka 120 , hiyo ni akili ni matope? Eti wako sehemu salama mara wanakula vizuri, sasa hamas inawashikilia ili iweje, iliwateka ili iweje? Waarabu na wapalestina shitukeni , amkeni hamas na Israel lao ni moja, wanawadanganya kwa kigezo cha dini ya uislamu ili kuwaamini kumbe wanateketeza wapalestina, Mahamoud Abas wa West bank ameshapaona, ndo maana amemwambia Ayatollah kuwa akae kumya kwa kuwasifia hamas kuwa walifanya vizuri kuvamia Israel.
unaibisha watu weusiGaza kwa sasa kama Israel inavyochukulia watu wote ni Hamas na wao watu hawaoni tena sababu ya kutengana na Hamas.Mvua ya mabomu ikija inadondoshwa popote pale.
Mbali na hivyo nyumba asiliamia 85 zimeshabomolewa hivyo awe ni mwandishi wa Aljazeera au raia mwengine yeyote hana tena nafasi ya kuchagua nyumba ya kuishi.Huwa wanajilaza popote tu ilimradi wapate usingizi bila kuhoji wengine wanaolala humo ni nani.
Wewe umeshahamishwa mwahala chungunzima na watu wako wote pengine wameshakufa huwezi tena kuchagua nyumba ya kuishi na wala huna haja ya kuuliza mwenyeji ni nani na nani yuko karibu yangu.Na hata ukijua huna sehemu ya kukimbilia.Umechoka!
hajielewi huyoIla unapambana sana Maalim.Hongera kwa kutetea wapalestina.Vp wewe wasudan hawakuhusu?
wapalestina washakata tamaa wamebakia kulia tu ila nyny mashetan msiowapenda wapalestina ndo mnashangilia vifo vya wapalestina mkizani mnawatia doa IsraelKama hawatarudia basi wangekuwa wameshakaa kimya.Kumbe wanapambana kiume na kuendelea kuua askari wa IDF japo kwa manati walizonazo.Mabomu mazito kutoka angani yanawaua na wanaobaki hai hawalii tu bali wanaokota mawe wanayarusha.
Hao watu si wa kawaida.Kilichowafanya wawe hivyo ni mateso ya muda mrefu tangu mababu zao.
Israel nayo ingefanya kama hivyo kwa wajerumani sio kuja kuwaonea wapalestina.