Makosa makuu yanayo kwenda kuliangamiza taifa kuhusu dini ni haya
1) shule za elimu dunia zenye milengo ya dini ...hapa ilitakiwa taasisi za dini zikifungua shule zisiruhusiwe kuweka mambo ya dini sana isipokuwa somo tu la dini...mavazi yawe ni standard kama miaka ya 94 kuja chini.
2)Shule za serikali zisiruhusiwe mambo ya dini kwa namna yoyote ...kufutwe masomo ya dini yote na mitihani ya dini kwenye shule za serikali.
3)Kuhusu mavazi kusiwe na mavazi yoyote yenye kuelekea dini yoyote ...hapa ni kupiga marufuku hijabu na misalaba na kila aina ya kifaa cha dini...kama biblia na misahafu mashuleni hii si kwa wanafunzi tu hata kwa walimu wasiruhusiwe kuvaa mavazi yenye milengo ya kidini kama hijabu.
4)wanafunzi wote wavae sketi zenye kufika magotini zi chini ya hapo ..ni kumaliza vitambaa bure na kuzarisha taifa la wanafiki ...toka lini tumeweza kujisitili nyeti zetu tusifanye uzinzi na uasharati ...mbona wanafunzi wa siku hizi ni malaya haswa kuliko wale wa miaka ya 94 kuja chini ambao walikuwa hawavai hijabu wala masomo ya dini hayakuwepo.
Ww naye ni tahira na huna akili.
Kwanza ni lini serikali imeruhusu misaraba mashuleni?
Sheria ya kutochanganya mambo ya dini na serikali inazibana taasisi za serikali tu na sio sekta binafisi hiyo iko dunia nzima.
Alafu kisheria hakunaga vazi linalo itwa la kidini ,maana kuna jamii nyingi unaweza kukuta zina mtindo mmoja wa uvaaji wa mavazi lakini katika mitizamo tofauti , kidini ,kimila na kimazingira.
,suala la mavazi lipo katika maamuzi ya mtu binafisi kuamua avae nguo ya aina gani ,kama ww ambaye unaweza kuamua kununua gari aina ya Toyota au benzi,au uowe mwanamke wa aina gani mweusi au mweupe.
Alafu aliye kwambia nguo zimetengenezwa kwa ajili kuzuia uovu ni nani?
Basi ww na binti yako anzeni kutembea uchi maana mavazi hayazuii uzinzi.
Nguo ipo kwa ajili ya kulinda utu wa binadamu husika kutokana na mtazamo wa huyo mtu na ndio maana kuna watu wanavaa vimini ,nguo ndefu,ya wastani ,ya kubana ,pana kutokana na mzamo wa mtu kuwa avaeje ili kulinda utu wake.
Zee zima kupenda kuangalia mapaja ya visichana vidogo lika na wajukuu zake ni upumbavu.