Sidhani kama ni rahisi kama ulivyo-hitimisha. Kama sio mvivu wa kufikiri, rudi nyuma (mbali) katika HIS-toria ya eno linaloitwa Tanganyika, halafu, fikiria 'alternative paths', alafu fananisha: sidhani kama utafikia hitimisho hili.Walioleta hizi dini walituweza kweli
Makosa makuu yanayo kwenda kuliangamiza taifa kuhusu dini ni hayaNitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee.
Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo tengenezwa katika mzunguko wa dini mbili hizi Ukristo na Uislam.
Ni nchi chache sana duniani zinazoweza kujitambulisha kama nchi zisizo egemea dini yoyote ile kwa namna yoyote ile na katika nchi hizo Tanzania haipo kabisa.
Kosa ni kuwa serikali bado inaendelea kuzishikilia hizi dini mbili na kuziaminisha kwamba ndizo nguzo ya nchi.
Kazi kubwa sana inahitajika kuiweka hii nchi mbali na udini wa Ukristo na Uislam kama vile Tanzania imejengwa katika mzunguko wao pekee.
Jamii ambayo asilimia kubwa ya population yake inayatazama maamuzi ya serikali katika picha ya Ukristo na Uislam ina tatizo kubwa sana la udini wa kila dini moja kupambana mamlaka dhidi ya nyenzake.
Jamii ambayo viongozi wake wanafanya maamuzi kwa kutazama hizi dini mbili juu ya maamuzi yake ina tatizo kubwa sana la udini ndani yake.
WATANZANIA WANAZIPENDA SANA DINI ZAO UKRISTO NA UISLAM MPAKA KUATHIRI FIKRA ZAO KATIKA KUFIKIRI NA KUTAZAMA MAMBO KIMAPANA NA WATANZANIA WANA UDINI WA UKRISTO NA UISLAM HATA KAMA HAWAPO TAYARI KUKUBALI HILO.
Siyo wanazipenda dini ....ila ukweli ni kwamba wamezifanya dini kuwa ushabiki na sikuzote ushabiki haupo pamoja na ukweli ....tanzania hakuna mkristo wala muislamu hata mmoja bali kuna mashabiki wa ukristo na uislamu ni WAHUNI WA KIDININitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee.
Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo tengenezwa katika mzunguko wa dini mbili hizi Ukristo na Uislam.
Ni nchi chache sana duniani zinazoweza kujitambulisha kama nchi zisizo egemea dini yoyote ile kwa namna yoyote ile na katika nchi hizo Tanzania haipo kabisa.
Kosa ni kuwa serikali bado inaendelea kuzishikilia hizi dini mbili na kuziaminisha kwamba ndizo nguzo ya nchi.
Kazi kubwa sana inahitajika kuiweka hii nchi mbali na udini wa Ukristo na Uislam kama vile Tanzania imejengwa katika mzunguko wao pekee.
Jamii ambayo asilimia kubwa ya population yake inayatazama maamuzi ya serikali katika picha ya Ukristo na Uislam ina tatizo kubwa sana la udini wa kila dini moja kupambana mamlaka dhidi ya nyenzake.
Jamii ambayo viongozi wake wanafanya maamuzi kwa kutazama hizi dini mbili juu ya maamuzi yake ina tatizo kubwa sana la udini ndani yake.
WATANZANIA WANAZIPENDA SANA DINI ZAO UKRISTO NA UISLAM MPAKA KUATHIRI FIKRA ZAO KATIKA KUFIKIRI NA KUTAZAMA MAMBO KIMAPANA NA WATANZANIA WANA UDINI WA UKRISTO NA UISLAM HATA KAMA HAWAPO TAYARI KUKUBALI HILO.
Sababu ni wakristo wenyewe kushabikia mitume feki na kuacha misingi ya dini siku 6 fanya kazi isipokua moja ....leo mitume feki na manabii wanashindisha watu kwenye mikutano siku zote na kuwataka watowe sadaka na kuteketeza familia zao ....inakuwaje makanisa na mambo ya kidini yanafanyika siku zaidi ya moja kwa week .....wakristo wa leo ni wapumbavuKuna siku ukiristo utakuwa hauna nguvu tena tanzania...nakupa 30yrs later...ukiristo utakuwa minority group tz..kama ilivyo Nigeria
Ni hadi damu imwagike ndiyo waisiharamu na makafiri watajua kuwa dini azifwatwi kishabiki...nilazima tumwage damu kwanza ndiyo akili zitafunguka maana hata huko zilipo toka walimwaga damu sanaWalioleta hizi dini walituweza kweli
Una ifahamu History ya Nijeria? [emoji848]Indeed.. COURT ya Naijeria inasema kesi za watu kubadili Majina toka ya Kikristo kwenda ya kiislam zimeongezeka mara dufu kuliko miongo miwili iliyopita.
Inward Nigeria ni Jamhuri ya kiislam kwasasa.. Waislam ndiyo wanaamua mstakabali wa Naijeria.
Tinubu hakutaka MUSLIM - MUSLIM TICKETS ila wenye Nchi wakamgomea, ikabidi akubali,akamchukua Shetimma(BOKO HARAMA ENABLER) sasa wapi Ikulu.
Cheti chako kikiwa na jina la Peter kupata Ajira ni shughuli ni Bora Uende mahakamani ubadili ili uendane na mfumo.
Akili yako ni mbovu sanaSioni future ya ukiristo kabisa....muislim wanafanya best move, non returnable...kuna uwezekano hata next prezidar atakuwa shehe tena....na itakuwa ngumu kurudisha ukiristo madarakani
Dini zipo karibu duniani kote hii mitazamo ya kuletewa dini mimi binafsi sioni kama inaleta maana.Walioleta hizi dini walituweza kweli
Siijui, ila kuna wakati ili wait kuwa considered as Christians country.Una ifahamu History ya Nijeria?
Ni jambo la Muda... Christianity Demise is inevitable.Kwa Tanzania haitakaa ije itokee.
Ww naye ni tahira na huna akili.Makosa makuu yanayo kwenda kuliangamiza taifa kuhusu dini ni haya
1) shule za elimu dunia zenye milengo ya dini ...hapa ilitakiwa taasisi za dini zikifungua shule zisiruhusiwe kuweka mambo ya dini sana isipokuwa somo tu la dini...mavazi yawe ni standard kama miaka ya 94 kuja chini.
2)Shule za serikali zisiruhusiwe mambo ya dini kwa namna yoyote ...kufutwe masomo ya dini yote na mitihani ya dini kwenye shule za serikali.
3)Kuhusu mavazi kusiwe na mavazi yoyote yenye kuelekea dini yoyote ...hapa ni kupiga marufuku hijabu na misalaba na kila aina ya kifaa cha dini...kama biblia na misahafu mashuleni hii si kwa wanafunzi tu hata kwa walimu wasiruhusiwe kuvaa mavazi yenye milengo ya kidini kama hijabu.
4)wanafunzi wote wavae sketi zenye kufika magotini zi chini ya hapo ..ni kumaliza vitambaa bure na kuzarisha taifa la wanafiki ...toka lini tumeweza kujisitili nyeti zetu tusifanye uzinzi na uasharati ...mbona wanafunzi wa siku hizi ni malaya haswa kuliko wale wa miaka ya 94 kuja chini ambao walikuwa hawavai hijabu wala masomo ya dini hayakuwepo.
Misingi yetu hii mizuri ndio inadanya hadi leo nchi iwe kitovu cha amani duniani na watu kuishi kwa kuheshimiana na kuvumiliana tofauti na nchi nyingi hata majirani tu hapo angalia uchaguzi unakuwa kama vita , kwa hili tanzania tujipongezeNitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee.
Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo tengenezwa katika mzunguko wa dini mbili hizi Ukristo na Uislam.
Ni nchi chache sana duniani zinazoweza kujitambulisha kama nchi zisizo egemea dini yoyote ile kwa namna yoyote ile na katika nchi hizo Tanzania haipo kabisa.
Kosa ni kuwa serikali bado inaendelea kuzishikilia hizi dini mbili na kuziaminisha kwamba ndizo nguzo ya nchi.
Kazi kubwa sana inahitajika kuiweka hii nchi mbali na udini wa Ukristo na Uislam kama vile Tanzania imejengwa katika mzunguko wao pekee.
Jamii ambayo asilimia kubwa ya population yake inayatazama maamuzi ya serikali katika picha ya Ukristo na Uislam ina tatizo kubwa sana la udini wa kila dini moja kupambana mamlaka dhidi ya nyenzake.
Jamii ambayo viongozi wake wanafanya maamuzi kwa kutazama hizi dini mbili juu ya maamuzi yake ina tatizo kubwa sana la udini ndani yake.
WATANZANIA WANAZIPENDA SANA DINI ZAO UKRISTO NA UISLAM MPAKA KUATHIRI FIKRA ZAO KATIKA KUFIKIRI NA KUTAZAMA MAMBO KIMAPANA NA WATANZANIA WANA UDINI WA UKRISTO NA UISLAM HATA KAMA HAWAPO TAYARI KUKUBALI HILO.
Sio leo wala kesho wala kesho kutwa,kiufupi sahau Hilo.Mambo yanaangaliwa kwa umakini mkubwa sana.Ni jambo la Muda... Christianity Demise is inevitable
Kitu ambacho hawakijui katika uongozi wa kisiasa CCM hawamchukui mfia dini😝😝Mbona unajiongelesha mwenyewe na tena vitu ambavyo havitakuja kutokea kabisa kabisa.
Kiufupi hiyo ni future impossible tense,nyie jidanganyeni misikitini lakini uhalisia hautakuja uwe hivyo.
Kwa umakini mkubwa na kutumia Compass Directions(bible)...Sio leo wala kesho wala kesho kutwa,kiufupi sahau Hilo.Mambo yanaangaliwa kwa umakini mkubwa sana.
Unaifahamu DEEP STATE?Sioni future ya ukiristo kabisa....muislim wanafanya best move, non returnable...kuna uwezekano hata next prezidar atakuwa shehe tena....na itakuwa ngumu kurudisha ukiristo madarakani
Acha uongoIndeed.. COURT ya Naijeria inasema kesi za watu kubadili Majina toka ya Kikristo kwenda ya kiislam zimeongezeka mara dufu kuliko miongo miwili iliyopita.
Inward Nigeria ni Jamhuri ya kiislam kwasasa.. Waislam ndiyo wanaamua mstakabali wa Naijeria.
Tinubu hakutaka MUSLIM - MUSLIM TICKETS ila wenye Nchi wakamgomea, ikabidi akubali,akamchukua Shetimma(BOKO HARAMA ENABLER) sasa wapi Ikulu.
Cheti chako kikiwa na jina la Peter kupata Ajira ni shughuli ni Bora Uende mahakamani ubadili ili uendane na mfumo.
Nigeria eneo la kaskazini lenye waislamu wengi lina umaskini wa kutishaUna ifahamu History ya Nijeria? [emoji848]