Daaah nimeshatafakari Sana Ila hakuna mahali kwenye hidden secretTafakari kwa kina mkuu
Kuna shida mahali
Umeamka umevurugwa nn 👽 mzeye ila wahenga wanasema kila jambo na wakati wake ukifika utaona mwenyew steps n muhimu kwa kila jambo huwez maliza drs 7 bila kusota miaka 6 kwa drs so,be humble!!! Aya maisha so easy kama tunavofikiri🤝Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Sure mkuu sometimes MTU unathamani kufanya mambo ya ajabu kisa Hela ila nafsi inakataaa kabisaUmeamka umevurugwa nn 👽 mzeye ila wahenga wanasema kila jambo na wakati wake ukifika utaona mwenyew steps n muhimu kwa kila jambo huwez maliza drs 7 bila kusota miaka 6 kwa drs so,be humble!!! Aya maisha so easy kama tunavofikiri🤝
Yes!!! Mkuu best ov luck kuelekea penye watamani ufikee lkn tuepukee tu shortcut way mara nying huwa na negative impactSure mkuu sometimes MTU unathamani kufanya mambo ya ajabu kisa Hela ila nafsi inakataaa kabisa
Anyway God's time is the best.
Maisha yalishachorwa......huwezi toka nje ya mstari......usiumize kichwa.........Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni
Sawa hili naomba nilitumieKuna mambo yanayochua fedha sana bila kujua.
Naomba uwe unatoa hata masalua kidogo kwa watoto na wenye shida utafanikiwa sana
Mkuu serious?! Prove meMaisha yalishachorwa......huwezi toka nje ya mstari......usiumize kichwa.........
AppreciateYes!!! Mkuu best ov luck kuelekea penye watamani ufikee lkn tuepukee tu shortcut way mara nying huwa na negative impact
Endelea na maisha....jibu utalipata.........Mkuu serious?! Prove me
Sawa ahsante Sana I will back👍Endelea na maisha....jibu utalipata.........
Naomba nijichunguze kwenye suala la akiba hapo serious naona kuna changamotoMkuu niamini mimi bado kuna code onakurudisha nyuma. Kujituma unajituma na hela unapata je kuna akiba unaweka? Kwa muda gani? Na malengo ya akiba hiyo ni nini?
Unaishije na watu wanaokuzunguka? Madili wanakupa au hata kama hawakupi ila kuna kauzibe yoyote unaiona kutokana na hao watu? Usiumize sana kichwa kuwatafakari watu.
Jichunguze mwenendo wako wewe
Mkuu hapo ndio muhimu sana. Weka akiba hata UTT halafu mwisho wa mwaka cheki umefanya nini ila hiyo akiba iwe ni kwa ajili ya lengo fulani aidha kuongeza chanzo cha mapato au kununua kiwanja n.k ukifanikiwa hapo naamini huo ndio mwanzo na utakua umepiga hatua.Naomba nijichunguze kwenye suala la akiba hapo serious naona kuna changamoto
Sawa nashukuru sana ahsante Sana Kwa hiliMkuu hapo ndio muhimu sana. Weka akiba hata UTT halafu mwisho wa mwaka cheki umefanya nini ila hiyo akiba iwe ni kwa ajili ya lengo fulani aidha kuongeza chanzo cha mapato au kununua kiwanja n.k ukifanikiwa hapo naamini huo ndio mwanzo na utakua umepiga hatua.
Hahha kwaiyo boss nitumie ndumba😂Huenda njia halali si saizi yako...
Tumia njia mbadala....kutoboa ni kulekule kikubwa umakini