Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida?
MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote
Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong
Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga
Unaamini katika Mungu
Sio Mtu wa Socio media
Yaaani full time MTU upo serious na Maisha lakini mafanikio bado ni Giza kubwa??
Wakuu based on your life experiences tatizo huwa ni Nini?
Maana ukienda Kwa mganga wale mbwa huwa hawakosi sababu
Karibuni