Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

Aliwatesa akiwa hai na atawatesa akiwa kaburini,,,,aliechomoa betri kabeba madhambi yote ya jamaa na maushetani mnayopigia kelele,,,,na uzuri tunajua alitubu huyo mtakatifu wa mbinguni kabisa,,,,,pambaneni na kiungo wenu mchomoa betri kabeba madhambi yote ya jamaa ahsanteni kwa kazi nzuri ya kutupatia mtakatifu
Yaani shetani lenu lile ndo takatifu!?
 
Bora ya Magu alifanya vitu vinaonekana kuliko wakati ule na sasa. Hatujui hata hela zinafanya nini. Sijui wanazificha huko pánámá? Au uswizi?
Mkuu kwani alivikamilisha??? Au kuanzisha ndio kukamilisha wajameni?? Nyie SG vipi???
 
Bora ya Magu alifanya vitu vinaonekana kuliko wakati ule na sasa. Hatujui hata hela zinafanya nini. Sijui wanazificha huko pánámá? Au uswizi?
Mkuu kwani alivikamilisha??? Au kuanzisha ndio kukamilisha wajameni?? Nyie SG vipi?
 
Wenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni kote nchini waliporwa fedha zao saa 6.20 mchana na kikosi maalumu cha JWTZ kilichotumwa na jiwe. Mama wa watu kalazimika kuwarudishia fedha zao. Mjinga Sanaa yule jamaa.

Kulikuwa na haja gani ya kufanya hivo??
Bureau za Tanzania zina miliki asilimia ngapi ya uchumi wa Tanzania? Unazijua sekta ambazo zina ongoza kwa kukuza uchumi wa Tanzania yetu? Kaangalie kama kuna hizo maduka za kubadili fedha.

Pili, hayo maduka yalifungwa yote? Au baadhi ambazo zilikuwa habituation taratibu na sheria za kifedha?

Tatu, hadi sasa hivi toka Mama aingie wafanya biashara bado wana fungiwa account zao na TRA wakichelewa kulipa kodi serikalini, nina orodha ya kampuni kibao ambazo zimefungiwa account zao huu mwaka na hawana fedha za kulipa, ni vile hawa semi kulinda heshima za kampuni zao, wengine wamefunga biashara, tena amri inatoka TRA makao makuu fungia hao.

Nne, sijaona chochote alichofanya cha maana kushind mtangulizi wake zaidi ya kuruhusu fake democracy na maandamano, ni hicho tu kilichobaki ni kuzuga tu , kuna project yetote mpya ambayo samia kaanzisha na kusimamia ikaonekana zaidi ya kupiga story? Where is Samia irrigation scheme? At the end mmeagiza Michele kutoka USA , mtaweza maendeleo nyie? Mnafanya MAZOGOZANYO
 
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.

Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.

Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.

Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.

Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.

Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.

Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.

Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Baada ya kusoma hii nimetamani nikutukane ila nimeacha kufanya hivo kwa sababu hata wewe unao uhuru wa kusema chochote.
 
Ukisoma uzi halafu ukaishia kutamani kutukana badala ya kujibu hoja za kwenye uzi ujue uzi huo umekuzidi akili
 
Bureau za Tanzania zina miliki asilimia ngapi ya uchumi wa Tanzania? Unazijua sekta ambazo zina ongoza kwa kukuza uchumi wa Tanzania yetu? Kaangalie kama kuna hizo maduka za kubadili fedha.

Pili, hayo maduka yalifungwa yote? Au baadhi ambazo zilikuwa habituation taratibu na sheria za kifedha?

Tatu, hadi sasa hivi toka Mama aingie wafanya biashara bado wana fungiwa account zao na TRA wakichelewa kulipa kodi serikalini, nina orodha ya kampuni kibao ambazo zimefungiwa account zao huu mwaka na hawana fedha za kulipa, ni vile hawa semi kulinda heshima za kampuni zao, wengine wamefunga biashara, tena amri inatoka TRA makao makuu fungia hao.

Nne, sijaona chochote alichofanya cha maana kushind mtangulizi wake zaidi ya kuruhusu fake democracy na maandamano, ni hicho tu kilichobaki ni kuzuga tu , kuna project yetote mpya ambayo samia kaanzisha na kusimamia ikaonekana zaidi ya kupiga story? Where is Samia irrigation scheme? At the end mmeagiza Michele kutoka USA , mtaweza maendeleo nyie? Mnafanya MAZOGOZANYO
Wewe acha kupoteza muda kumtetea jiwe aliyekuwa dikteta mshamba na limbukeni. Alijenga uadui na wafanyabiashara pasipo sababu, ndipo akaanza kuwapora fedha zao na kuwafilisi. Alitamka mara nyingi Sana on camera kuwa anatamani kuona matajiri wanaishi kama mashetani. Mpuuzi sana yule jamaa.

Mama ametumia fedha nyingi Sana kuwalipa fidia wafanyabiashara walioonewa ndiyo maana hadi sasa maisha yanakuwa magumu. Mpuuzi sana yule jiwe.
 
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.

Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.

Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.

Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.

Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.

Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.

Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.

Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Relux makonda atazitatua
 
wewe una chuki zako Hayati Rais Wetu Mchapa kazi RIP Magufuli chuki zako hazito kusaidia kitu unazungumza maneno ay pumba .
Kidini unapata dhambi na utaingai motoni kwa kumsema maiti Mungu atakutia Motoni na kukuadhibu ahapa hapa duniani kabla ya kifo chako kwa kumsema vibaya Maiti. Ukitaka kumsema Hayati Magufuli mabaya yake sema na Mazuri yake Mpumbe pumbe wewe.
 
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.

Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.

Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.

Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.

Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.

Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.

Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.

Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Vyeti feki kama wewe lazima uje na hoja za kipumbavu kama hizi. Uwezo mdogo wa kufikiri. Na wewe utakufa tu
 
Anza kufanyia kazi akili yako ili ijitambue nawe ujitambue.
 
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.

Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.

Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.

Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.

Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.

Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.

Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.

Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Hata tatizo la Yanga kufungwa na Azam ni kwa sababu ya Mwendazake
 
Can you change your username to ~Thinkless please?
 
Aliwatesa akiwa hai na atawatesa akiwa kaburini,,,,aliechomoa betri kabeba madhambi yote ya jamaa na maushetani mnayopigia kelele,,,,na uzuri tunajua alitubu huyo mtakatifu wa mbinguni kabisa,,,,,pambaneni na kiungo wenu mchomoa betri kabeba madhambi yote ya jamaa ahsanteni kwa kazi nzuri ya kutupatia mtakatifu
Inasikitisha sana...
 
Muandishi unaonekana ulikua fisadi Amna raia wakawaida asa asa wachini walio wengi wanaweza kubaliana na wewe

Ukiangalia mabiashara hayo mengi yaliyozinguliwa ni yaleyale yanayotumika kutakatisha pesa.

Ila sisi wajasiriamali tuliziona pesa nakujenga ndoto zikatimia.

Now Hali ngumu kuliko Yani ikipatikana dawa yakufufua wafu lazima nimpelekee raisi wangu hayati magufuli he was a man who almost take us to gold community.
 
Back
Top Bottom