kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba. Makosa yote hayo ya wanachama yamefanya mo kuwa tatizo kwao.
Kazi kubwa waliyonayo Simba ni namna ya kumtoa mo. Mo ametengeneza mtandao wa machawa unaomlinda pale Simba. Pesa anazotoa mo kuendesha Simba ni pesa ya kuinunua Simba. Mo anaiona Simba kama mali yake; hata utajiri wake unajumuisha Simba sc. Hii ndio iliyomfanya Magori amfokee na kumtwanga barua mwenyekiti wa Simba, Mangungu. Katiba ya Simba ni vuluvulu.