Shida ya Simba ni wanachama sio MO wala Mangungu, waliponzwa na Manji. Katiba ya Simba ni vuluvulu

Shida ya Simba ni wanachama sio MO wala Mangungu, waliponzwa na Manji. Katiba ya Simba ni vuluvulu

Katiba ya Simba inataja wawekezaji wangapi?
Katiba inataja Mangungu kushauriana sio kushirikiana na Bodi kuteua wadhamini, ushauri na kushirikiana ni vitu 2 tofauti.
Wewe huijui Katiba ya Simba kwahiyo sipotezi muda kukujibu.
 
Simba holding company imo kwenye KATIBA? Mangungu (51%) na Magori (49%) nani anaweza kumfokea mwenzake?.
Huijui katiba ya Simba kama unaijua ni ile ya zamani katiba mpya aliyopitisha msajili hakuna asilimia 48 za magori.
 
Back
Top Bottom