Mitandaoni na maredioni yamejaa maroboti kibao yanapiga mapambio mwanzo mwisho, kazi yao ni kuikosoa Yanga na kusifia Simba!Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba. Makosa yote hayo ya wanachama yamefanya mo kuwa tatizo kwao.
Kazi kubwa waliyonayo Simba ni namna ya kumtoa mo. Mo ametengeneza mtandao wa machawa unaomlinda pale Simba. Pesa anazotoa mo kuendesha Simba ni pesa ya kuinunua Simba. Mo anaiona Simba kama mali yake; hata utajiri wake unajumuisha Simba sc. Hii ndio iliyomfanya Magori amfokee na kumtwanga barua mwenyekiti wa Simba, Mangungu. Katiba ya Simba ni vuluvulu.
Unaifahamu Katiba ya Simba? Mimi ninayo hapa mbele yangu sasa hivi. Niambie ni kipengele/ vipengele gani kina/vina tatizo ili tukijadili/ tuvijadili objectively?Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba. Makosa yote hayo ya wanachama yamefanya mo kuwa tatizo kwao.
Kazi kubwa waliyonayo Simba ni namna ya kumtoa mo. Mo ametengeneza mtandao wa machawa unaomlinda pale Simba. Pesa anazotoa mo kuendesha Simba ni pesa ya kuinunua Simba. Mo anaiona Simba kama mali yake; hata utajiri wake unajumuisha Simba sc. Hii ndio iliyomfanya Magori amfokee na kumtwanga barua mwenyekiti wa Simba, Mangungu. Katiba ya Simba ni vuluvulu.
Simba holding company imo kwenye KATIBA? Mangungu (51%) na Magori (49%) nani anaweza kumfokea mwenzake?.Unaifahamu Katiba ya Simba? Mimi ninayo hapa mbele yangu sasa hivi. Niambie ni kipengele/ vipengele gani kina/vina tatizo ili tukijadili/ tuvijadili objectively?
Dogo wewe Katiba ya Simba iliyopitishwa enzi za Hamis Kisiwa HUIJUI! Kwahiyo, sitapoteza muda wangu na MB zangu kubishana na maamuma kama wewe. Mfano; Katiba ya Simba ya mwaka 2007 inataja Simba ngapi na kila moja inaundwa na nani na ina mamlaka yepi?Simba holding company imo kwenye KATIBA? Mangungu (51%) na Magori (49%) nani anaweza kumfokea mwenzake?.
Kama simba holding imekufa kwenye katiba mpya maana yake hakuna body ya simba hadi hapo itakapoundwa upya. Katiba inataja wadhamini na sio mdhamini. Hiyo bodi yenye wadhamini bado haijaundwa.Dogo wewe Katiba ya Simba iliyopitishwa enzi za Hamis Kisiwa HUIJUI! Kwahiyo, sitapoteza muda wangu na MB zangu kubishana na maamuma kama wewe. Mfano; Katiba ya Simba ya mwaka 2007 inataja Simba ngapi na kila moja inaundwa na nani na ina mamlaka yepi?
Binafsi ningeenda utuwekee hapa,tuone na sie katiba yaoUnaifahamu Katiba ya Simba? Mimi ninayo hapa mbele yangu sasa hivi. Niambie ni kipengele/ vipengele gani kina/vina tatizo ili tukijadili/ tuvijadili objectively?
Huyo ndo tuliyemchagua.Sisi mashabiki wa simba tuna imani na mwenyekiti wetu Mangungu.
Mkuu tuwekee hizo PDF za katiba,tujifunze na sisiDogo wewe Katiba ya Simba iliyopitishwa enzi za Hamis Kisiwa HUIJUI! Kwahiyo, sitapoteza muda wangu na MB zangu kubishana na maamuma kama wewe. Mfano; Katiba ya Simba ya mwaka 2007 inataja Simba ngapi na kila moja inaundwa na nani na ina mamlaka yepi?
Kwa wivu mkubwaHuyo ndo tuliyemchagua.
Tutamlinda
HaswaaKwa wivu mkubwa
Katiba ya Simba inataja wawekezaji wangapi?Unaifahamu Katiba ya Simba? Mimi ninayo hapa mbele yangu sasa hivi. Niambie ni kipengele/ vipengele gani kina/vina tatizo ili tukijadili/ tuvijadili objectively?
Hebu pata maarifa mapya kuhusu Simba na Katiba yao. Usibwabwaje tu jfDogo wewe Katiba ya Simba iliyopitishwa enzi za Hamis Kisiwa HUIJUI! Kwahiyo, sitapoteza muda wangu na MB zangu kubishana na maamuma kama wewe. Mfano; Katiba ya Simba ya mwaka 2007 inataja Simba ngapi na kila moja inaundwa na nani na ina mamlaka yepi?