kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia.
"Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji. Pambaneni ninyi kama ninyi, msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.
Kila mtu ana nyota yake inayong'aa mahali fulani. Jambo hili likiendelea mtaniambia kwa miaka mitano mbele, nimeshuhudia mara kadhaa mtu anategua mtego wa mechi za jirani uliowekwa na Yanga zaidi ya mara 5.
Ujumbe ndio huu siyo lazima kuufanyia kazi.