Shida ya Yanga imeanzia hapa

Shida ya Yanga imeanzia hapa

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
222
Reaction score
515
Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia.

"Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji. Pambaneni ninyi kama ninyi, msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.

Kila mtu ana nyota yake inayong'aa mahali fulani. Jambo hili likiendelea mtaniambia kwa miaka mitano mbele, nimeshuhudia mara kadhaa mtu anategua mtego wa mechi za jirani uliowekwa na Yanga zaidi ya mara 5.

Ujumbe ndio huu siyo lazima kuufanyia kazi.
 
Yaani unapoteza muda wako kuijadili Yanga iliyotoa sare ya 1-1 nyumbani, badala ya Azam iliyofungwa magoli 3-0 ugenini!!

Yaani karibia nyuzi zote humu zimejaa habari za Yanga! Yanga sijui haiwezi kupindua meza! Yanga haiwezi kufuzu!! Vipi kuhusu Azam? Vipi kuhusu ile timu iliyowahi kushinda goli 0-2 ugenini kule Botwana, halafu ikaja kufungwa goli 1-3 nyumbani na kutolewa kwenye madhindano haya haya!!

Why kila siku Yanga! Yanga!
 
Why kila siku Yanga! Yanga!!
Ishu ni kuwa Azam wana uwezekano mkubwa wa kufuzu kuliko utopwinyo
 
Kwa hiyo asipofuzu, utapungukiwa nini? Mwakani atashiriki tena akiwa kama Bingwa mtetezi wa makombe yote mawili; Ligi kuu ya NBC, na lile la ASFC.

Wanashindwa kufuzu TP Mazembe! Kwa nini iwe nongwa kwa Yanga!!
 
Tatizo siyo kutofuzu bali ni kutolewa kwa aibu
 
Yaani unapoteza muda wako kuijadili Yanga iliyotoa sare ya 1-1 nyumbani, badala ya Azam iliyofungwa magoli 3-0 ugenini!...
Unajizima data kusudi eeh? Shida ni mnaongea sana kuliko uhalisia. Unaambiwa ujifunze kwa mkubwa unajifanya utatoboa mwenyewe. Wakubwa tumekaa pembeni tunawachora na kuwacheka tu.

Yaani yanga ili ipige hatua kimataifa itapita njia zile zile ambazo ssc ilipita. Utapigwa sana tano tano huko, utawekewa sana figisu huko ila kikubwa jifunzeni kwa ssc jinsi ya kuchukua point zote kwa mkapa. Endeleeni kusukumiza mwikko huko nyuma mpk mumpigie magoti simba ndo mtaelewa
 
Unajizima data kusudi eeh? Shida ni mnaongea sana kuliko uhalisia. Unaambiwa ujifunze kwa mkubwa unajifanya utatoboa mwenyewe. Wakubwa tumekaa pembeni tunawachora na kuwacheka tu...
Kati ya Yanga na simba, mkubwa nani? Nyinyi mbumbumbu hopeless kabisa.
 
Unajizima data kusudi eeh? Shida ni mnaongea sana kuliko uhalisia. Unaambiwa ujifunze kwa mkubwa unajifanya utatoboa mwenyewe. Wakubwa tumekaa pembeni tunawachora na kuwacheka tu...
Usijisahaulishe mwaka jana makolo mlitolewa CCL kwa mkapa tena ukiwa unaongoza goli mbili bila... Mpira haujaisha mpaka itakapopulizwa filimbi ya mwisho.. Naona mko bize na yanga mnasahau na nyie mna mechi.. vipi hau wa angola wakapindua meza?
 
Yaani unapoteza muda wako kuijadili Yanga iliyotoa sare ya 1-1 nyumbani, badala ya Azam iliyofungwa magoli 3-0 ugenini!!

Yaani karibia nyuzi zote humu zimejaa habari za Yanga! Yanga sijui haiwezi kupindua meza! Yanga haiwezi kufuzu!! Vipi kuhusu Azam? Vipi kuhusu ile timu iliyowahi kushinda goli 0-2 ugenini kule Botwana, halafu ikaja kufungwa goli 1-3 nyumbani na kutolewa kwenye madhindano haya haya!!

Why kila siku Yanga! Yanga!!
Why allways yanga "Mario baloteli"
 
Usijisahaulishe mwaka jana makolo mlitolewa CCL kwa mkapa tena ukiwa unaongoza goli mbili bila... Mpira haujaisha mpaka itakapopulizwa filimbi ya mwisho.. Naona mko bize na yanga mnasahau na nyie mna mechi.. vipi hau wa angola wakapindua meza?
Hawa mbumbumbu ni wasahaulifu, halafu wanapenda sana kuchonga.
 
Naomba nieleweke.....!

Naongea kikubwa hapa wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili si rejei mechi yenu ya kesho...ombeni Mungu anaweza kuwasaidia.

"Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame" uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia mlogaji pambaneni ninyi kama ninyi msijihusishe na mambo ya jirani hata kidogo.

Kila mtu ana nyota yake inayong'aa mahali fulani. Jambo hili likiendelea mtanambia kwa miaka mitano mbele, nimeshuhudia mara kadhaa mtu anategua mtego wa mechi za jirani uliowekwa na Yanga zaidi ya mara 5.

Meseji ndio hii sio lazima kuifanyia kazi
Hii akili umeipata tangu lini? Umesahau mnavyopokeaga timu za nje zinazokuja kucheza na simba na kuzishangilia? Kumbe mkuki kwa nguruwe eh!! Pambaneni na hali zenu!
 
Kesho Omdurman muda wa mechi kutakuwa na nyuzi joto 39. Halafu eti timu imefika leo kwa kuunga unga usafiri . .. Utopolo akili zenu mnazijua wenyewe
Asee kumbe mkuu wewe ni mtaalamu wa maswala haya ?
Hongera sana
 
Yaani unapoteza muda wako kuijadili Yanga iliyotoa sare ya 1-1 nyumbani, badala ya Azam iliyofungwa magoli 3-0 ugenini!!

Yaani karibia nyuzi zote humu zimejaa habari za Yanga! Yanga sijui haiwezi kupindua meza! Yanga haiwezi kufuzu!! Vipi kuhusu Azam? Vipi kuhusu ile timu iliyowahi kushinda goli 0-2 ugenini kule Botwana, halafu ikaja kufungwa goli 1-3 nyumbani na kutolewa kwenye madhindano haya haya!!

Why kila siku Yanga! Yanga!
Tate Mkuu tongomaa! mzasonwe pee uko Khartoum
 
Back
Top Bottom